multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 584
hahahaaaaa think big
kweli kwamba tutafute pesa?
Then?
Mkuu BAK mind polution iko kwenye PEAK kwa hawa vijana wetu... Enzi zetu sisi baba zao hali haikuwa hivi.
Mkuu Tized tatizo hili halikuishia kwenye vijana tu Mkuu, wale wanaotaka penzi la kweli na siyo pesa idadi yao ni ndogo sana siku hizi. Pesa ndiyo ingekuwa sababu ya penzi kushamiri basi kule Hollywood ndoa/mapenzi zingeshamiri/yangeshamiri sana kuliko mahali popote pale duniani.
asanteeeeah na mwanamke nae apanue papuchi zama za oh mie mke wako hamna unato.mbwa na kupewa pesa basi.
kama wataka kuhudumiwa basi kuwa wife material...na sheria namba moja ya wife material ni kuwa na plasta
asanteeee