Dada huyu amenichosha, nataka nimwambie mmewe.

Nina mashaka na msimamo wako kwa huyo e wako,haiwezekani katika ulimwengu huu wa teknologia ukasumbuliwa katika sms na wewe ushindwe kufanya lolote.

Pia mwanaume kamili hutafuta njia za kumaliza tatizo bila kushirikisha upande wa pili,hivi wewe kutaka kwenda kwa mwanaume mwenzio kumwambia mkewe anakusumbua ni akili au matope?

Tuseme mtu akiwa anamtaka huyo mkeo mtarajiwa aje kwako akwambie anamtaka mkeo sio!Kma unamtaka kuwa wazi maana wanaume wengine huwa hatuonji mara moja na kila mwanamke huwa na kitu ambacho sisi wanaume huwa tukikumbuka basi hatuachi kukumbushia,kwa hiyo kama kweli humhitaji basi kata mawasiliano haraka.
 
Mimi hivi vitu huwa sivielewi....

Mtu ambaye ulishamdelete anakusumbua vipi asee?

Labda useme na wewe bado unamtamani, ila otherwise ni rahisi sana kumpuuza na kumdharau tu.

We sms zake si usijibu, simu usipokee tu na ukiweza unam-block??

Kwa uanaume sio nzuri kwenda kusemelea kwa mumewe, utachemka!

Mpuuze endelea na maisha yako...

Huu ushauri tosha kabisa labda niongezee kidogo...............

Hapo kwenye red kuna uwezekano wa asilimia 100 kabisa huyu jamaa bado anamtamani huyu mwanamke iweje ushindwe kutopokea simu wala sms zake??? Haiingii akili hata kidogo simu zinaoptions kibao you can block simu yake kama hutaki akupigie inawezekana wewe bado unamwaza sana halafu unamsingizia yeye ....................
 
Am sorry to say this..!!!huyo atakua anmentertain ukiamua kumdeleate mtu fanya hivyo kweli kama alivyosema@JouneGwalu hapo hata akipiga simu akipewa majibu ya uhakika hatarudia tena nakwambia.....!!!!!!
 
Aliekutuma UTUMIE HADI HADI HAZINA YA UFUNDI WA EXTRAAAA KATIKA MECHI ZA KIRAFIKI NANIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!! Ndo hivo tena mchovya asali hachovyi mara moja, keshanogewa huyooooooo. VITUZ VIZITO INATAKIWA UVIWEKE SPECIAL FOR YOUR WIFE AND YOUR WIFE ONLY!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mimi X wangu akija kumtambishia my Husband atakuwa kachemka sanaaa, coz yeye kapata RASHARASHA/TRELA tuu la picha, MOVIE KAMILI nimeiweka IN SPECIAL RESERVE kwa my Hubby and my Hubby ONLY!!!!!!! Special for our HONEY MOON!!!!

Dume zimaa unaenda HONEYMOON WAKATI SILAHA ZAKO ZOTE USHATUMIAGA, KARATA ZOTE ZIKO JUU YA MEZA!!!!!!!!! Huoni aibu?

Duuuuuuuuh napenda post zako kiukweli. na natamani..........................ila sisemi.
Ngoja nikuambie kitu katika ujuzi wa mapenzi!!
Ujuzi katika Mapenzi ni kama u-goalkeeper katika mpira wa miguu. kadiri unavyocheza mechi nyingi ndivyo unavyokuwa mkali ile mbaaaaya. ukikaa benchi unakuwa na wasiwasi ukipewa mechi ngumu.

Cheza mechi nyingi ununue silaha za maaangamizi kwa huyo wa honey moon.
 
Huyo mwanamke alikuacha akaolewa na mwanaume mwingine kwa tamaa ya kitu flani,Sasa amesikia unaoa ameanza kukuonea wivu na usipoangalia atakuharibia mipango yote ya ndoa. KUWA MWANGALIFU NA UCHUKUE HATUA
 
Huu ushauri tosha kabisa labda niongezee kidogo...............

Hapo kwenye red kuna uwezekano wa asilimia 100 kabisa huyu jamaa bado anamtamani huyu mwanamke iweje ushindwe kutopokea simu wala sms zake??? Haiingii akili hata kidogo simu zinaoptions kibao you can block simu yake kama hutaki akupigie inawezekana wewe bado unamwaza sana halafu unamsingizia yeye ....................

Unajua Mama Susy, kuna kipindi The Boss alikuwa na kampeni juu ya wanaume wanaolialia kwenye vitu visivyoeleweka, ila naona saiv kapoa sana....
Najaribu kulichukua hilo jukumu!
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa na mpezi hapo nyuma ila baadae yeye alikosa uvumilivu na kuamua kuolewa na mtu mwingine. Sasa ni mwaka mmoja tanu aolewe na mimi niko katika mchakato wa ndoa japo mchumba wangu nae alikuwa na tatizo kidogo lakini naamini we will get along ASAP. Sasa huyu mpeenzi wangu wa zamani amekuwa kero kwangu, mpaka sasa ninataka nimweleze mme wake maana nimeshawaambia rafiki zake na huyu dada wamwonye kuhusiana na tabia hii lakini hataki kusikia. Kila mara ananiandikia text msg kudai eti tangu ameolewa na mme wake hapati raha ya ndoa kama tulivyokuwa pamoja na anataka angalau niwe nampa penzi hata mara moja kwa mwezi. Nimeshamwonya na kumwambia siwezi kufanya tendo hilo na kwasasa namheshimu kama mke wa mtu na pia nami najiandaa kuwa na familia na nataka kulinda heshima ya ndoa yangu. Siku moja nilimwambia kama ataendelea kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu za kunililia ntamwambia mmewe ila naona wala hajali kabisa. Sina mazoea na mme wake kabisa na wala sijawahi kukaa nae au kupiga nae stori. Sasa wana JF nimfikishie vipi ujumbe huu mme wake?.

loh!!! mana sijui niseme una bahati au mkosi...anyways wee mwna usmlambe kabisa huyo maana itakuwa bombez la complications. sasa chakunya ni kuuchuna tuu huyo mumewe wala usimfuate. silence tuu kwa kwnda mbele
 
Aliekutuma UTUMIE HADI HADI HAZINA YA UFUNDI WA EXTRAAAA KATIKA MECHI ZA KIRAFIKI NANIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!! Ndo hivo tena mchovya asali hachovyi mara moja, keshanogewa huyooooooo. VITUZ VIZITO INATAKIWA UVIWEKE SPECIAL FOR YOUR WIFE AND YOUR WIFE ONLY!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mimi X wangu akija kumtambishia my Husband atakuwa kachemka sanaaa, coz yeye kapata RASHARASHA/TRELA tuu la picha, MOVIE KAMILI nimeiweka IN SPECIAL RESERVE kwa my Hubby and my Hubby ONLY!!!!!!! Special for our HONEY MOON!!!!

Dume zimaa unaenda HONEYMOON WAKATI SILAHA ZAKO ZOTE USHATUMIAGA, KARATA ZOTE ZIKO JUU YA MEZA!!!!!!!!! Huoni aibu?

We ni kiboko!
 
Unajua Mama Susy, kuna kipindi The Boss alikuwa na kampeni juu ya wanaume wanaolialia kwenye vitu visivyoeleweka, ila naona saiv kapoa sana....
Najaribu kulichukua hilo jukumu!

Mie nashangaa sana wanaume kama huyu hili swali si lakuuliza ni yeye mwenyewe tu ajipange na kwa uhakika kabisa bado anampenda huyu mwanamke siwezi kuamini kama anashindwa kumzuia mawasiliano nayo The Boss siku hizi kimya mno sijui kwanini...............................
 
Last edited by a moderator:
Nimekubaliana kabisa na ushauri wa jouneGwalu pamoja na Dena Amsi.

Lakini inawezekana huyu jamaa hajui kama kuna kublock namba,natumai sasa atakua amejua hii kitu ipo!
 
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaa!
Kumbeee,nilikua sijui aiseeee!
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuuh napenda post zako kiukweli. na natamani..........................ila sisemi.
Ngoja nikuambie kitu katika ujuzi wa mapenzi!!
Ujuzi katika Mapenzi ni kama u-goalkeeper katika mpira wa miguu. kadiri unavyocheza mechi nyingi ndivyo unavyokuwa mkali ile mbaaaaya. ukikaa benchi unakuwa na wasiwasi ukipewa mechi ngumu.

Cheza mechi nyingi ununue silaha za maaangamizi kwa huyo wa honey moon.

Hapo ndo mnapokoseaaaa!!!!! Ukijifanya masta ndo UNAGANDWA na Zombii kama hivo. Match za kirafiki ni kunyoosha viungo na kuiba ujuzi wa wenzio, ndani ya ndoa sasa NI KUSAKA UBINGWA ENDELEVU tuuuuu!!!!!!!!! Baaaaaaaaassss!!!!!!!!!
 
Kuna watu ni ving'ang'a yaani usisikie. Unablock namba anatafuta nyingine. Hakukondeshi wala kukupa presha, ila anakumalizia chaji ya simu. Mmmh, usiombe aisee. Afu sasa unaogopa ukimuambia mwenza wake utamuumiza zaidi.
Mimi hivi vitu huwa sivielewi....

Mtu ambaye ulishamdelete anakusumbua vipi asee?

Labda useme na wewe bado unamtamani, ila otherwise ni rahisi sana kumpuuza na kumdharau tu.

We sms zake si usijibu, simu usipokee tu na ukiweza unam-block??

Kwa uanaume sio nzuri kwenda kusemelea kwa mumewe, utachemka!

Mpuuze endelea na maisha yako...
 
Kongosho, kuna maswali yako hapa. Tuwekee namba ya mganga wa kimanzichana
Unajua Mama Susy, kuna kipindi The Boss alikuwa na kampeni juu ya wanaume wanaolialia kwenye vitu visivyoeleweka, ila naona saiv kapoa sana....
Najaribu kulichukua hilo jukumu!

Mie nashangaa sana wanaume kama huyu hili swali si lakuuliza ni yeye mwenyewe tu ajipange na kwa uhakika kabisa bado anampenda huyu mwanamke siwezi kuamini kama anashindwa kumzuia mawasiliano nayo The Boss siku hizi kimya mno sijui kwanini...............................
 
Last edited by a moderator:
Aliekutuma UTUMIE HADI HADI HAZINA YA UFUNDI WA EXTRAAAA KATIKA MECHI ZA KIRAFIKI NANIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!! Ndo hivo tena mchovya asali hachovyi mara moja, keshanogewa huyooooooo. VITUZ VIZITO INATAKIWA UVIWEKE SPECIAL FOR YOUR WIFE AND YOUR WIFE ONLY!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mimi X wangu akija kumtambishia my Husband atakuwa kachemka sanaaa, coz yeye kapata RASHARASHA/TRELA tuu la picha, MOVIE KAMILI nimeiweka IN SPECIAL RESERVE kwa my Hubby and my Hubby ONLY!!!!!!! Special for our HONEY MOON!!!!

Dume zimaa unaenda HONEYMOON WAKATI SILAHA ZAKO ZOTE USHATUMIAGA, KARATA ZOTE ZIKO JUU YA MEZA!!!!!!!!! Huoni aibu?

ndio maana jamaa hajatangaza ndoa sababu unampimia... mpe vyote kama hajapeleka posa....jumamosi!! hujui mapenzi ni mojawapo ya vishawishi vya kuoa sasa ukito nusu nusu mwanaume anaweza jua hapo wewe ndio mwisho wa reli akabwaga
 
Nimekubaliana kabisa na ushauri wa jouneGwalu pamoja na Dena Amsi.

Lakini inawezekana huyu jamaa hajui kama kuna kublock namba,natumai sasa atakua amejua hii kitu ipo!

kuna njia za kublock sim na sms kama sumsung unablock sms na namba unaitupa kwenye Call reject kwisha habari yake zamani wasumbufu kama hao simu nilikuwa napokea then naiweka kwenye spika ya sub ufa namsikilizisha mziki mpaka credit yake inakata sms ikifika nadelet wiki tu wanasepa
 
ndio maana jamaa hajatangaza ndoa sababu unampimia... mpe vyote kama hajapeleka posa....jumamosi!! hujui mapenzi ni mojawapo ya vishawishi vya kuoa sasa ukito nusu nusu mwanaume anaweza jua hapo wewe ndio mwisho wa reli akabwaga

Hahahaaaaa!!!!!!1 HIYO NUSU YENYEWE ISHAMLEVYAAA!!!!!!! Nikimuongezea atakuwa Zombiiii la YES MAM!!!!!!!! Ndoa mwenyewe tu sijaamua, kuhamia tu nimeshindwa, wiki tu kamasi zikanitoka, TILL DEATH DO US APART Hapana chezeya hiyo kitu aiseeee.

Mambo ya kujiweka mahali jumlaaaa, ni dangerous, considering BETTER OPPORTUNITIES RISE every now and then!!!!!!!! Mambo ya kusema ningejua siyataki. Tukikaa hivi hivi for 5 years nitakuwa na uhakika!!!!! Sema dozi ndo NUSU KIJIKO kama kawaida. LOL!!!! (Akioa lazima aone mabadiliko ya DOZI kati ya enzi za Kademu na za Wife ili ajilaumu KWA KUTOOA MAPEMA!)
 
Back
Top Bottom