Dada huyu amenichosha, nataka nimwambie mmewe.

Ufunguo

Ufunguo

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2012
Messages
331
Points
250
Ufunguo

Ufunguo

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2012
331 250
Nilikuwa na mpezi hapo nyuma ila baadae yeye alikosa uvumilivu na kuamua kuolewa na mtu mwingine. Sasa ni mwaka mmoja tanu aolewe na mimi niko katika mchakato wa ndoa japo mchumba wangu nae alikuwa na tatizo kidogo lakini naamini we will get along ASAP. Sasa huyu mpeenzi wangu wa zamani amekuwa kero kwangu, mpaka sasa ninataka nimweleze mme wake maana nimeshawaambia rafiki zake na huyu dada wamwonye kuhusiana na tabia hii lakini hataki kusikia. Kila mara ananiandikia text msg kudai eti tangu ameolewa na mme wake hapati raha ya ndoa kama tulivyokuwa pamoja na anataka angalau niwe nampa penzi hata mara moja kwa mwezi. Nimeshamwonya na kumwambia siwezi kufanya tendo hilo na kwasasa namheshimu kama mke wa mtu na pia nami najiandaa kuwa na familia na nataka kulinda heshima ya ndoa yangu. Siku moja nilimwambia kama ataendelea kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu za kunililia ntamwambia mmewe ila naona wala hajali kabisa. Sina mazoea na mme wake kabisa na wala sijawahi kukaa nae au kupiga nae stori. Sasa wana JF nimfikishie vipi ujumbe huu mme wake?.
 
Mkirua

Mkirua

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
5,665
Points
1,225
Mkirua

Mkirua

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
5,665 1,225

Nadhani juhudi ulizofanya kumwelewesha zinatosha na ukiendelea kukaa kimya unaweza kugeuziwa kibao wewe ukabaki unalishangaa jiji na mataa yake.
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,764
Points
2,000
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,764 2,000
ndio maana tunasisitizwa wanaume tuoe mwanamke mwenye bikira,vinginevyo yatatukuta kama wewe kukumbukwa muda wote
 
englibertm

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Messages
9,255
Points
2,000
englibertm

englibertm

JF-Expert Member
Joined May 1, 2009
9,255 2,000
wewe kula mzigo tu.
 
sakapal

sakapal

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
1,817
Points
1,225
sakapal

sakapal

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
1,817 1,225
Nilikuwa na mpezi hapo nyuma ila baadae yeye alikosa uvumilivu na kuamua kuolewa na mtu mwingine. Sasa ni mwaka mmoja tanu aolewe na mimi niko katika mchakato wa ndoa japo mchumba wangu nae alikuwa na tatizo kidogo lakini naamini we will get along ASAP. Sasa huyu mpeenzi wangu wa zamani amekuwa kero kwangu, mpaka sasa ninataka nimweleze mme wake maana nimeshawaambia rafiki zake na huyu dada wamwonye kuhusiana na tabia hii lakini hataki kusikia. Kila mara ananiandikia text msg kudai eti tangu ameolewa na mme wake hapati raha ya ndoa kama tulivyokuwa pamoja na anataka angalau niwe nampa penzi hata mara moja kwa mwezi. Nimeshamwonya na kumwambia siwezi kufanya tendo hilo na kwasasa namheshimu kama mke wa mtu na pia nami najiandaa kuwa na familia na nataka kulinda heshima ya ndoa yangu. Siku moja nilimwambia kama ataendelea kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu za kunililia ntamwambia mmewe ila naona wala hajali kabisa. Sina mazoea na mme wake kabisa na wala sijawahi kukaa nae au kupiga nae stori. Sasa wana JF nimfikishie vipi ujumbe huu mme wake?.
ukiendelea na msimamo huu hata baada ya miaka kadhaa ya ndoa yako utakuwa mume mzuri sana, wasiwasi unakuja pale baada ya miaka kadhaa ya ndoa wewe ndo ukawa unamtafuta huyu dada. Sikufundishi tabia mbaya ila endelea na msimamo huohuo kuwa moto usije poa kuwa vuguvugu au baridi kabisa. Ignoring is another good way of dealing na wasumbufu atachoka na ataacha mwenyewe mradi tu b4 hujamuo wife wako mueleze some of ur ex akiwemo huyo kwani anavoonekana kukusaka ukimuignore maruhani yake yakimpanda asije anza msumbua mkeo na kukuharibia ndoa. Mtaarifu mkeo mtarajiwa mapema what kind of a girl she is.
All the best buddy.
 
jouneGwalu

jouneGwalu

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
2,688
Points
1,225
jouneGwalu

jouneGwalu

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
2,688 1,225
Mimi hivi vitu huwa sivielewi....

Mtu ambaye ulishamdelete anakusumbua vipi asee?

Labda useme na wewe bado unamtamani, ila otherwise ni rahisi sana kumpuuza na kumdharau tu.

We sms zake si usijibu, simu usipokee tu na ukiweza unam-block??

Kwa uanaume sio nzuri kwenda kusemelea kwa mumewe, utachemka!

Mpuuze endelea na maisha yako...
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Aliekutuma UTUMIE HADI HADI HAZINA YA UFUNDI WA EXTRAAAA KATIKA MECHI ZA KIRAFIKI NANIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!! Ndo hivo tena mchovya asali hachovyi mara moja, keshanogewa huyooooooo. VITUZ VIZITO INATAKIWA UVIWEKE SPECIAL FOR YOUR WIFE AND YOUR WIFE ONLY!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mimi X wangu akija kumtambishia my Husband atakuwa kachemka sanaaa, coz yeye kapata RASHARASHA/TRELA tuu la picha, MOVIE KAMILI nimeiweka IN SPECIAL RESERVE kwa my Hubby and my Hubby ONLY!!!!!!! Special for our HONEY MOON!!!!

Dume zimaa unaenda HONEYMOON WAKATI SILAHA ZAKO ZOTE USHATUMIAGA, KARATA ZOTE ZIKO JUU YA MEZA!!!!!!!!! Huoni aibu?
 
A

awuyegani

Senior Member
Joined
Oct 8, 2012
Messages
147
Points
170
A

awuyegani

Senior Member
Joined Oct 8, 2012
147 170
Mimi hivi vitu huwa sivielewi....

Mtu ambaye ulishamdelete anakusumbua vipi asee?

Labda useme na wewe bado unamtamani, ila otherwise ni rahisi sana kumpuuza na kumdharau tu.

We sms zake si usijibu, simu usipokee tu na ukiweza unam-block??

Kwa uanaume sio nzuri kwenda kusemelea kwa mumewe, utachemka!

Mpuuze endelea na maisha yako...
Nakuunga mkono mkuu
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
8,144
Points
2,000
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
8,144 2,000
Aliekutuma UTUMIE HADI HADI HAZINA YA UFUNDI WA EXTRAAAA KATIKA MECHI ZA KIRAFIKI NANIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!! Ndo hivo tena mchovya asali hachovyi mara moja, keshanogewa huyooooooo. VITUZ VIZITO INATAKIWA UVIWEKE SPECIAL FOR YOUR WIFE AND YOUR WIFE ONLY!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mimi X wangu akija kumtambishia my Husband atakuwa kachemka sanaaa, coz yeye kapata RASHARASHA/TRELA tuu la picha, MOVIE KAMILI nimeiweka IN SPECIAL RESERVE kwa my Hubby and my Hubby ONLY!!!!!!! Special for our HONEY MOON!!!!

Dume zimaa unaenda HONEYMOON WAKATI SILAHA ZAKO ZOTE USHATUMIAGA, KARATA ZOTE ZIKO JUU YA MEZA!!!!!!!!! Huoni aibu?
Mmmmh wewee, nilikupiga chabo ulivyokuwa unarusha sarakasi kwa Mangi halafu unasema umehifadhi silaha!!
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Mmmmh wewee, nilikupiga chabo ulivyokuwa unarusha sarakasi kwa Mangi halafu unasema umehifadhi silaha!!
Weeeeeeeee!!!!! Wote wa kupita zao RASHA RASHA TUUUUU!!!!!!! Hawapati ELNINO maishaaaaaaa!!!!! Mambo mazuri NIMERESERVE FOR THE ONE!!!!!!!!!!! Till death do us apart lazima niwe na RSERVE iliyojitosheleza!!!!!!!!!
 
kashesho

kashesho

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
4,971
Points
2,000
kashesho

kashesho

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
4,971 2,000
Mimi hivi vitu huwa sivielewi....

Mtu ambaye ulishamdelete anakusumbua vipi asee?

Labda useme na wewe bado unamtamani, ila otherwise ni rahisi sana kumpuuza na kumdharau tu.

We sms zake si usijibu, simu usipokee tu na ukiweza unam-block??

Kwa uanaume sio nzuri kwenda kusemelea kwa mumewe, utachemka!

Mpuuze endelea na maisha yako...
ushauri tosha huo
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,928
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,928 2,000
SMS na kupigiwa simu si vitu vinavyoweza kukunyima raha. Muhimu ni acha kabisa kupokea simu au kujibu SMS zake.
Ukicheka na nyani utavuna mabua...
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Points
1,225
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 1,225
Nilikuwa na mpezi hapo nyuma ila baadae yeye alikosa uvumilivu na kuamua kuolewa na mtu mwingine. Sasa ni mwaka mmoja tanu aolewe na mimi niko katika mchakato wa ndoa japo mchumba wangu nae alikuwa na tatizo kidogo lakini naamini we will get along ASAP. Sasa huyu mpeenzi wangu wa zamani amekuwa kero kwangu, mpaka sasa ninataka nimweleze mme wake maana nimeshawaambia rafiki zake na huyu dada wamwonye kuhusiana na tabia hii lakini hataki kusikia. Kila mara ananiandikia text msg kudai eti tangu ameolewa na mme wake hapati raha ya ndoa kama tulivyokuwa pamoja na anataka angalau niwe nampa penzi hata mara moja kwa mwezi. Nimeshamwonya na kumwambia siwezi kufanya tendo hilo na kwasasa namheshimu kama mke wa mtu na pia nami najiandaa kuwa na familia na nataka kulinda heshima ya ndoa yangu. Siku moja nilimwambia kama ataendelea kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu za kunililia ntamwambia mmewe ila naona wala hajali kabisa. Sina mazoea na mme wake kabisa na wala sijawahi kukaa nae au kupiga nae stori. Sasa wana JF nimfikishie vipi ujumbe huu mme wake?.
Huna haja ya kumwambie mumewe, cha msingi we endelea kumpotezea tu. Usijibu meseji na wala simu zake. Jitahidi na endelea na kumuonyesha wazi msimamo wako kuwa hupendi hiko anochokifanya. Hana uwezo wa kuja kukulazimisha kulala naye labda umpende mwenyewe! Hivyo wewe ndo unaweza kujitoa au kujiingiza kwenye shimo baya. Kumbuka tu msimamo wako ni mzuri, na ni hatari kucheza na mali za watu.
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,168
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,168 2,000
Mpelekee Story Shigongo.
 
Mzalendo wa ukweli

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
559
Points
0
Mzalendo wa ukweli

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
559 0
Nilikuwa na mpezi hapo nyuma ila baadae yeye alikosa uvumilivu na kuamua kuolewa na mtu mwingine. Sasa ni mwaka mmoja tanu aolewe na mimi niko katika mchakato wa ndoa japo mchumba wangu nae alikuwa na tatizo kidogo lakini naamini we will get along ASAP. Sasa huyu mpeenzi wangu wa zamani amekuwa kero kwangu, mpaka sasa ninataka nimweleze mme wake maana nimeshawaambia rafiki zake na huyu dada wamwonye kuhusiana na tabia hii lakini hataki kusikia. Kila mara ananiandikia text msg kudai eti tangu ameolewa na mme wake hapati raha ya ndoa kama tulivyokuwa pamoja na anataka angalau niwe nampa penzi hata mara moja kwa mwezi. Nimeshamwonya na kumwambia siwezi kufanya tendo hilo na kwasasa namheshimu kama mke wa mtu na pia nami najiandaa kuwa na familia na nataka kulinda heshima ya ndoa yangu. Siku moja nilimwambia kama ataendelea kunitumia msg za mapenzi na kunipigia simu za kunililia ntamwambia mmewe ila naona wala hajali kabisa. Sina mazoea na mme wake kabisa na wala sijawahi kukaa nae au kupiga nae stori. Sasa wana JF nimfikishie vipi ujumbe huu mme wake?.Haina haja kumwambia mumuwe,kwani wakati mnaanza mahusiano mumewe alikuwepo? Ukiweza kaa kimya usireply msg zake kama kweli hutaki kuendeleza libeneke na huyo x wako,itafika mahali atachoka mwenyewe!!!!!!
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,180
Points
1,250
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,180 1,250
Mumewe atakuamini?
akikugeuzia kibao wewe ndo unamsumbua?

unajuaje labda hiyo ndoa ni ndoa ya geresha?
mumewe hampi anachokitaka?

wewe huwezi kutojibu sms na kukataa kuookea simu?
Kweli the Boss, ampotezee tu maana kumwambia tena mumewe ni kuleta uchonganishi mkubwa kuliko anaoupata wa visms na kupigiwa simu.

Wanaume hebu tuwe wavumilivu na vitimbi vodogovidogo vya wanawake.
 
Miwatamu

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Messages
1,451
Points
1,170
Miwatamu

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2012
1,451 1,170
Mimi hivi vitu huwa sivielewi....

Mtu ambaye ulishamdelete anakusumbua vipi asee?

Labda useme na wewe bado unamtamani, ila otherwise ni rahisi sana kumpuuza na kumdharau tu.

We sms zake si usijibu, simu usipokee tu na ukiweza unam-block??

Kwa uanaume sio nzuri kwenda kusemelea kwa mumewe, utachemka!

Mpuuze endelea na maisha yako...
Kama kweli unataka kubaki katika mikono salama, basi zingatia ushauri huu. Bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaas!

Forum statistics

Threads 1,285,942
Members 494,834
Posts 30,879,945
Top