Dada anusurika kufa kwa kujitupa baharini leo akitoka Dar kwenda Zanzibar

Kitoto cha Kizanzibar kinapigania haki yake ya Kikatiba ya kusuguliwa Tanganyika Tena na Mtanganyika mkaazi halafu wanatokea kina Seif Sharif wanajifanya Eti Wazanzibar hawajafaidika na Muungano!
 
Next time kama umekusudia kufa maji jaribu mkondo wa Nungwi siku za upepo mkali, pale jamaa walizama kwa bahati mbaya na nahodha kaamua asepe, chakula cha samaki.
 
Hata mimi nimewaza hivyo, inawezeka wamepanga hiyo issue ili kufanya promo ya meli kwani binti anaonekana ni mtaalamu sana wa kuogelea hata pumzi anayo ya kutosha kwa hiyo hapo wenye meli kwanza wamejenga jina kwamba wanajali abiria wao pili wanavifaa vya kutosha kwa uokozi tatu wanawataalamu wa kuvitumia hivyo vifaa na nne wanauwezo wa kutoa huduma ya kwanza kwa haraka
kwa hiyo inawezekana huyo binti ana mafunzo mazuri ya kutosha na atakuwa amelipwa hela nzuri tu kwa hilo tukio kwani ni la kijasiri sana.
kama ndivyo basi wamefanikiwa sana hongera kwa waliondaa hilo tukio

Kuna mijitu ina fikra mbovu na potofu,hivi azam ana mpinzani kwenye usafiru wa meli mpaka ajipe kiki mwenyewe?
Ili iwrje?
Shida ya bongo ni SHILAWADU inapunguza upeo wa akili.
 
Kitoto cha Kizanzibar kinapigania haki yake ya Kikatiba ya kusuguliwa Tanganyika Tena na Mtanganyika mkaazi halafu wanatokea kina Seif Sharif wanajifanya Eti Wazanzibar hawajafaidika na Muungano!

Hahahaaaaaa daaah.

Malaika msishuke kuzima JF. Subirini mje na Yesu
 
Huyo mwanamke ameokolewa kutoka baharini baada ya kujitupa kutoka kwenye boat leo wakati wakitokea Dar kuja Zanzibar. Tukio hilo limetokea maeneo ya Chumbe. Bado haijafahamika lengo na dada huyo kujitupa kwake kulikua na lengo.

Alikuwa akisafiri na boti ya Azam Marine Kilimanjaro V toka Dar kwenda Unguja ameopolewa baada ya kujirusha baharini. Taarifa za awali zinadai kuwa, hakutaka kurejeshwa nyumbani kwao Unguja. Mjomba wake alikuja kumchukua Dar ili kumrejesha Unguja

======

Taarifa Kutoka Kampuni Ya Azam Marine And Kilimanjaro Fast Ferries:

Kwa taarifa tu, abiria huyo alijitosa majini kutoka kwenye chombo chetu cha KILIMANJARO 5 maeneo ya Chumbe na taarifa zilipofika kwa Captain wetu, chombo kilipunguza speed na kurudi kwa ajili ya uokozi. Tulifanikiwa kumuokoa abiria huyo akiwa mzima na tumemkabidhisha kwa vyombo husika tulipofika bandarini Zanzibar.

HICHI KITOTO KITAKUA KINASUMBULIWA NA MASHETANI YA KIBUKI SHANGAZI YAKE NDO FUNDI MKUBWA WA VIBUKI BI MTEMBEZI . KILA WIKI ANAKUSANYA WATOTO WADOGO NA MAKAKA POA AKIWAPUNGA VIBUKI.
 
Huyo mwanamke ameokolewa kutoka baharini baada ya kujitupa kutoka kwenye boat leo wakati wakitokea Dar kuja Zanzibar. Tukio hilo limetokea maeneo ya Chumbe. Bado haijafahamika lengo na dada huyo kujitupa kwake kulikua na lengo.

Alikuwa akisafiri na boti ya Azam Marine Kilimanjaro V toka Dar kwenda Unguja ameopolewa baada ya kujirusha baharini. Taarifa za awali zinadai kuwa, hakutaka kurejeshwa nyumbani kwao Unguja. Mjomba wake alikuja kumchukua Dar ili kumrejesha Unguja

======

Taarifa Kutoka Kampuni Ya Azam Marine And Kilimanjaro Fast Ferries:

Kwa taarifa tu, abiria huyo alijitosa majini kutoka kwenye chombo chetu cha KILIMANJARO 5 maeneo ya Chumbe na taarifa zilipofika kwa Captain wetu, chombo kilipunguza speed na kurudi kwa ajili ya uokozi. Tulifanikiwa kumuokoa abiria huyo akiwa mzima na tumemkabidhisha kwa vyombo husika tulipofika bandarini Zanzibar.

Huyo msichana namfahamu

Anasoma green rose kidato cha tatu ,chanzo cha yeye kujitosa baharini ni kitendo cha kutaka kurudishwa kwao Zanzibar kwa kuwa alitoroka na kwenda dar kwa mpenzi wake
 
Binti bomba sana macho yake, lips zake, nyusi zake na ngozi yake nyororo mashallahu!

56c25a21718e30db810047eaef202190.jpg
 
Back
Top Bottom