Dada ananipigia pande kwa mdogo wake

Sawa dada nitafanya hivyo, yaani sasa hivi hata nikimpigia simu sister nimpe hai anampa moja kwa moja mdogo wake

Kwahiyo dogo hana simu!!
Ila angalia usijevunja heshima ulojiwekea, hicho kilichomvutia huyo dada hadi aone unamfaa mdogo wake.
 
kampime MIMBA na UKIMWI, Pengine ana kimimba kimekataliwa na mwenyewe atafutwa mlezi, au usikute dada ameridhika na tabia zako, ameona unamfaa mdogo wake, ila kama huna mpango wa kuoa achana nae, si bure kuna sabab dada anayofanya. JIONGEZE.
Halafu wewe ndo maana NAKUPENDA sana
 
Hapo kuna mambo kadhaa, kwanz huenda Dada yake amekuamin hivyo ameona bora amkabidhi mdogo wake kwenye mikono salama pili isijekuwa tayari mjamzito wanakutega ili ulee na dada ameona una uwezo huo tatu Dada anataka akuozeshe maana mabint siku hz hawachelewi kupigwa mimba wanaishia kuwa single mother so kuwa makini. Umeaminiwa sasa kama huna mpango nae ni bora usimguse maana haitaishia kugombana na Dada mtu Bali hadi urafiki wake na Dada yako unaweza kuharibika kwa issue hiyo
 
kampime MIMBA na UKIMWI, Pengine ana kimimba kimekataliwa na mwenyewe atafutwa mlezi, au usikute dada ameridhika na tabia zako, ameona unamfaa mdogo wake, ila kama huna mpango wa kuoa achana nae, si bure kuna sabab dada anayofanya. JIONGEZE.

Hilo nalo neno!!!!!.....!
 
Pwani ni mambo ya kawaida haya
Rafiki yangu nikiwa Bagamoyo aliwahi nitongezea dada yake waliyefuatana
Alipokuja gheto mm ikawa kupiga tu
Nikaona ni mila ya ajabu sana hii
Kyela nikikukuta na dada yangu nakupiga bakora
 
Umesema sio wa nchi hii?,,,make sure you represent well our country....utie eshima mkuu
 
Kuna chimbo limevuma huko la BRUNEI, umelisikia? Watakupopoa mawe
 
Pwani ni mambo ya kawaida haya
Rafiki yangu nikiwa Bagamoyo aliwahi nitongezea dada yake waliyefuatana
Alipokuja gheto mm ikawa kupiga tu
Nikaona ni mila ya ajabu sana hii
Kyela nikikukuta na dada yangu nakupiga bakora
Sawa mtani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…