hiyo ni side A..side B ni (dam=bwawa) au (dam=mzazi jike wa mnyama-mamalia) au (dam=decametre)
demu inatokana na neno dame ambalo ni neno la heshima in english
ukitaka tugombane niite demu!!!!!!bora useme mi ni rafiki yako lakini si kuniita demu nahisigi ni dharau kwa mdada kama mimi ninayeejielewa kuniita demu?
Hahahahahaaaaa nimefowadi tu sina nenoHata mie nachukia kuitwa demu aiseee
Hahahahahaaaaa nimefowadi tu sina neno