Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,635 Reaction score 6,237 Mar 28, 2012 #21 Jamani kwani kusema ukweli ni vibaya? Au ndiyo zile za ukweli unauma? Anyway, NI TETESI tu nimesikia. Peter Nyanje said: Ah! Sikonge, ebu muhurumie dada wa watu jamani Click to expand...
Jamani kwani kusema ukweli ni vibaya? Au ndiyo zile za ukweli unauma? Anyway, NI TETESI tu nimesikia. Peter Nyanje said: Ah! Sikonge, ebu muhurumie dada wa watu jamani Click to expand...
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,411 Mar 28, 2012 #22 laboratory said: wengi madem ,,hawajui magari ,,magari ya mikopo,,itabidi akauze kiwanja atengeneze pump...ya mafuta Click to expand... Halafu hata huo mwelekeo wa gari si kama lilikuwa litaka kugeuza na sio kujaza mafuta maana alikuwa anaiface pump wakati ilitakiwa iwe pembeni !
laboratory said: wengi madem ,,hawajui magari ,,magari ya mikopo,,itabidi akauze kiwanja atengeneze pump...ya mafuta Click to expand... Halafu hata huo mwelekeo wa gari si kama lilikuwa litaka kugeuza na sio kujaza mafuta maana alikuwa anaiface pump wakati ilitakiwa iwe pembeni !
COURTESY JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 2,006 Reaction score 712 Mar 28, 2012 #23 Sikonge said: Nasikia ALIPIGA HONI ila Pump haikumpisha. Hizi Pump za siku hizi bana...... Click to expand... hahaha aisee umenifurahisha sana,pump ilijua iko zebra cross
Sikonge said: Nasikia ALIPIGA HONI ila Pump haikumpisha. Hizi Pump za siku hizi bana...... Click to expand... hahaha aisee umenifurahisha sana,pump ilijua iko zebra cross
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,239 Reaction score 3,939 Mar 28, 2012 #24 dubu said: hao marafiki zake mmoja wapo ni member wa jf. huyo wa kulia. Click to expand... Halafu ni mpenzi wa Gunners!
dubu said: hao marafiki zake mmoja wapo ni member wa jf. huyo wa kulia. Click to expand... Halafu ni mpenzi wa Gunners!
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Mar 28, 2012 #25 Sasa huyu dada alegonga hapo ni kwamba alikuwa amefunga macho wakati anaendesha au hajui kuendesha?
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,162 Reaction score 27,308 Mar 28, 2012 #26 Ndibalema said: Kuna nchi wanawake hawaruhusiwi kuendesha gari, right? Click to expand... Saudi Arabia hawaruhusu (kwa imani yao, si kwa kudharau uwezo wa wanawake). Lakini pia Ufaransa hawaruhusu mwanamke aliyevaa hijabu kuendesha gari (bila shaka hata huyu wa kuvaa tinted asingeruhusiwa)
Ndibalema said: Kuna nchi wanawake hawaruhusiwi kuendesha gari, right? Click to expand... Saudi Arabia hawaruhusu (kwa imani yao, si kwa kudharau uwezo wa wanawake). Lakini pia Ufaransa hawaruhusu mwanamke aliyevaa hijabu kuendesha gari (bila shaka hata huyu wa kuvaa tinted asingeruhusiwa)
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Mar 29, 2012 #27 BIG X said: Ilikuaje akafikia hiyo pump!!! loh!! Click to expand... alikua kashtua kitu cha a-town nini manake siku hizi hata majimama ni balaa kinyama yanaipuliza kama jiko lipikavyo...!
BIG X said: Ilikuaje akafikia hiyo pump!!! loh!! Click to expand... alikua kashtua kitu cha a-town nini manake siku hizi hata majimama ni balaa kinyama yanaipuliza kama jiko lipikavyo...!
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 29, 2012 #28 Hahaa nae kote huko alikuwa anatafuta nini? au ndo kujifunzia mjini?
Chibidu JF-Expert Member Joined Dec 19, 2008 Posts 387 Reaction score 50 Mar 29, 2012 #29 Sikonge said: Nasikia ALIPIGA HONI ila Pump haikumpisha. Hizi Pump za siku hizi bana...... Click to expand... we mbavu zangu....hahahahahahahaa
Sikonge said: Nasikia ALIPIGA HONI ila Pump haikumpisha. Hizi Pump za siku hizi bana...... Click to expand... we mbavu zangu....hahahahahahahaa
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 618 Mar 29, 2012 #30 dubu said: hao marafiki zake mmoja wapo ni member wa jf. huyo wa kulia. Click to expand... hawez kuwa member wa jf huyu hata siku moja humjui wewe huyu
dubu said: hao marafiki zake mmoja wapo ni member wa jf. huyo wa kulia. Click to expand... hawez kuwa member wa jf huyu hata siku moja humjui wewe huyu