Kweli kabisaInakera sana,wataalamu wanakwambia inaondoa LADHA ya huyo mwanamke,thamani yake na hata viwango vyake kama mwanamke vinashuka sana...
Na mbaya zaidi hao ndo wanaolewa kwa kasi sana sijui mnawapendeaga nini? kuna mmoja niliishi nae kabla sijapata kazi chup akivaa zikaisha anachoma moto ananunua nyigine.
Au akijitahidi akaziloweka ni wiki nzima ziko bafuni anasubiri kuzifua j2. Nguo zingine yeye hafuagi hadi leo. Cha ahabu ni mke wa mtu😂😂😂
Wanaume tunavumilia mengi sana. Hii kitu ipo sanaNa mbaya zaidi hao ndo wanaolewa kwa kasi sana sijui mnawapendeaga nini? kuna mmoja niliishi nae kabla sijapata kazi chup akivaa zikaisha anachoma moto ananunua nyigine.
Au akijitahidi akaziloweka ni wiki nzima ziko bafuni anasubiri kuzifua j2. Nguo zingine yeye hafuagi hadi leo. Cha ahabu ni mke wa mtu😂😂😂
Dada acha uchafu inakera!!🤣🤣🤣Hilo la pedi ni kujisahau tu sasa mwanaume kisa umeingia bafuni na kukuta pedi ndio unaogeeea as if kila siku huwa unazikuta
Kuhusu kitanda sijui ni nini kinachomzuia mwanaume kutandika hadi aone ni kazi isiyomhusu kabisa....wanaume wengine mnaboa kama nini, mkiingia ndani mnabehave kama mmekatika mikono
🤣🤣🤣Kuna mwanamke unakuta kwake kuna lile beseni kubwa nguo chafu zote anaeka humo zinakaa hata miezi 4.Akitaka kuvaa nguo anachagua humo anafua hiyo moja tu kesho ndo anavaa.Humo ndani ya beseni ndo kumejazana mi pedi ilotumika.Kufua shuka mtihani branket sasa hilo vundo lake.Ila mda wote ye utamkuta na simu tu simu na yeye.Ukimwambia oooh unaninyanyapaa unajikutaga we msafi sana.Sasa we jiulize mtu ana diaba la maji ya kunywa,Ye bakuli anachotea humo,kikombe humo unashangaa hata sahani anachotea humo anakunywa.
Duh mm nilikuwa nae kama huyu nikashindwa aisee nimepiga chini, mwanamke mchafu hafai kuolewa Anakera sanaNa mbaya zaidi hao ndo wanaolewa kwa kasi sana sijui mnawapendeaga nini? kuna mmoja niliishi nae kabla sijapata kazi chup akivaa zikaisha anachoma moto ananunua nyigine.
Au akijitahidi akaziloweka ni wiki nzima ziko bafuni anasubiri kuzifua j2. Nguo zingine yeye hafuagi hadi leo. Cha ahabu ni mke wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
tandika kitanda acha uvivu mwanamke,Hilo la pedi ni kujisahau tu sasa mwanaume kisa umeingia bafuni na kukuta pedi ndio unaogeeea as if kila siku huwa unazikuta
Kuhusu kitanda sijui ni nini kinachomzuia mwanaume kutandika hadi aone ni kazi isiyomhusu kabisa....wanaume wengine mnaboa kama nini, mkiingia ndani mnabehave kama mmekatika mikono