Daah nimeshaliwa nauli yangu

Daah nimeshaliwa nauli yangu

Kama una ushahidi wa message na voice call nenda kafungue kesi ya madai na hujuma pia ulipwe na fidia ya kukusababishia mfadhaiko wa akili.

Hakikisha unapitia pale TCRA kwanza waambie umetapeliwa mtandaoni na simamia msimamo.

Sahivi ni mwendo wa kesi tuu
Kesi Kwa 10K aibu Uoni na unakaa mjini unaliwa kizembe Kila Siku tunatoa thread Humu usimpe binti Hela Kama humjui ujawahi kuonana naye umekutana naye Tu mtandaoni

Binafsi Pesa sikutumii mpaka utakapofika tuliko weka miadi tofauti na hapo pita kule [emoji16]
 
Back
Top Bottom