Daah nimeshaliwa nauli yangu

Daah nimeshaliwa nauli yangu

IMG-20230527-WA0008.jpg
 
Ndio shida ya kudate mtu wa masafa, yaani ukitaka mkutane ni hadi mmoja ajikane muda na nafasi hadi asafiri.

Kwani hapo jirani, mitaa ya karibu na mji wako hauna wanawake?
 
Kamanda ungenunua tu,mtandaoni,shida ya Nini,Ili mradibupate kei,ukizamisha wadhungu wanqtoka basi ,mambo ya Dem mkali,huyu Dem wangu,nimempenda achana mayo,next time ukitaka manzi junua ujipigie uendelee na mishe zako.
Life limekua too tight ,to the extent that makamanda hawaitaki kumiliki madem,wewe unataka kumiliki mambo ndiyo hayo.
Ukihitaji unaita mnapatana unamkula inampa fedha ya uchakavu,
Goodbye,
 
Tatizo wa kununua hawana amsha amsha kitandani, utakuta unamgegeda mda huo anapigiwa simu na wateja wengine.
Kamanda ungenunua tu,mtandaoni,shida ya Nini,Ili mradibupate kei,ukizamisha wadhungu wanqtoka basi ,mambo ya Dem mkali,huyu Dem wangu,nimempenda achana mayo,next time ukitaka manzi junua ujipigie uendelee na mishe zako.
Life limekua too tight ,to the extent that makamanda hawaitaki kumiliki madem,wewe unataka kumiliki mambo ndiyo hayo.
Ukihitaji unaita mnapatana unamkula inampa fedha ya uchakavu,
Goodbye,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanangu pole sana iyo ela ungepata vibia viwil vitatu sema ndio ushatoa sadaka ivyo
 
Kwema wakuu

Leo nilikua na miadi na pisi ikaniambia nimtumie nauli aje daah.. nikatuma tokea saa 3 asubuhi mpaka mda huu hapa pisi haijatokea na simu hapokei.

Ngoja nifanye mambo mengine tuu

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Formula ni moja, ukimtumia nauli mwanamke usimpigie simu kumuuliza chochote. Na kaa kimya hivyo hivyo hata kama inakuuma vipi. Kaa kimya hata asipokuja we kaa kimya usimtafute tena. Au siku akikutafuta acha kuuliza mambo ya nlikutumia nauli hukuja, weka story nyingine. Asipokutafuta kabisa na wewe usimtafute mmalizane hivyo. Fanya hivyo utanishukuru kwa matokeo yake[emoji3]
 
Kama una ushahidi wa message na voice call nenda kafungue kesi ya madai na hujuma pia ulipwe na fidia ya kukusababishia mfadhaiko wa akili.

Hakikisha unapitia pale TCRA kwanza waambie umetapeliwa mtandaoni na simamia msimamo.

Sahivi ni mwendo wa kesi tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afanye yote hayo kwa vile ametapeliwa buku10!!! Bora asamehe tu
 
Back
Top Bottom