Daah nimeshaliwa nauli yangu

Daah nimeshaliwa nauli yangu

Kama una 70k na upo kwenye mikoa mikubwa, unaingia tu online unapata huduma nzuri
 
Kwema wakuu

Leo nilikua na miadi na pisi ikaniambia nimtumie nauli aje daah.. nikatuma tokea saa 3 asubuhi mpaka mda huu hapa pisi haijatokea na simu hapokei.

Ngoja nifanye mambo mengine tuu

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Pole mkuu huna bahati , mie nimetuma na mtoto katimbaa

Nimeshafanya procedure zote mambo mwemwelereeeeeeee[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ungemkatia tiketi tu, na ten lakula njiani

Mi nimetuma 30 nikaambiwa kaenda kwa ndugu kakwama, kumbe alikua anabadilisha kambi kaenda kwa mtu wake, siku ya tano hii kani block amalize yake kwanza
Pole sana mkuu ! Ulitakiwa kumfata!
 
Back
Top Bottom