Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 26,769
- 54,090
Acha kuniharibia uraia mkuuUme danganywa😆, Wana familia tuna Juana bhana 🤣.
👉 Half american kuja sema kweli, ewe NUSu albinoooooo
Mimi ikifika mda huu kwa kweli siwezi kuendelea nakuwa zaidi ya mlevi kwa usingizi
Mwambie huyoHuyo ni Mu America😁😁
😂 jichanganyeShida shemeji yako, Half american ambaye ni Kaka angu Mimi.
👉Ana tatizo la unusu albinoo 😃
I love you mchumba😍😍Mimi ikifika mda huu kwa kweli siwezi kuendelea nakuwa zaidi ya mlevi kwa usingi
Tena wee ndo kuku was maziwa🤣Mwambie huyo
😐Tena wee ndo kuku was maziwa🤣
Iko we nusu albinoo, tulia kengee
Hahaha 😂😂Ama namna gani pale napata free services
Shauri yake mambo ya suprise yalishaisha,Alijipanga kumsapraizi mwenzie acha asapraiziwe yeye
Anakuja mjini bila taarifa yeye ni mvua, hata mvua siku hizi taarifa zinatolewa.
Nimemis nyuzi zako,how are you doingTomba halafu pita hiviiiii
#YNWA
😂 hajajua badoShauri yake mambo ya suprise yalishaisha,
Kaa nao wote waeleze ukweli.Wakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.
Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..
Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
Ukute umemuweka unyumba mtoto wa watu