Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,453
- 56,188
Simba tu ndo umenisingizia mengine ni kwelUme zaliwa nje ya mfumo, life 1- u 0.
02, hauna surname nzito, life 2-0
03, no job, life 3- u 0.
Ume kimbilia familia π, life 4- u 0.
Una shabukia man u na Simba, life 5- u 0 π€£ππ.
Mpaji Mungu
Ningekua hapo home nasoma course ambayo najua sitaaajirika, natafuta binti mkali hakya nan nazeekea hapo homembona siliagi jamaniππ.. Halafu sio wavivu basi tu Toka Mababu na mabibi zamani walikua wanaishi hivyo wamerithishana
Halafu uje uende motoniπ€£π, SI UTA andamanaπ€£πSimba tu ndo umenisingizia mengine ni kwel
Mtoto wa kiumeee, mtoto wa kiume angalia mtoto wa kiume π€£π Mpaji MunguNingekua hapo home nasoma course ambayo najua sitaaajirika, natafuta binti mkali hakya nan nazeekea hapo home
Mi siweziiiiii pigwa fayaaaaaa nikiumaliza mwendo nakua rutubaHalafu uje uende motoniπ€£π, SI UTA andamanaπ€£π
Ilaa SI Wana sema kuna mabikra 70, au ni chaiπ€£Mi siweziiiiii pigwa fayaaaaaa nikiumaliza mwendo nakua rutuba
Kama ni kwel mi nataka Moja asiwe bikra lkn walau Wana wawili watatu washasafisha road mi napiga...focus yangu mi Ile mito ya πΊπΊπΊasie ntafia humoIlaa SI Wana sema kuna mabikra 70, au ni chaiπ€£
Wanaume kusaidiana ndugu..Fanya mmoja kuniletea apoe poe huku kwangu kigamboni,apunge vizuri upepo...Wakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.
Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..
Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
Jamani ππNingekua hapo home nasoma course ambayo najua sitaaajirika, natafuta binti mkali hakya nan nazeekea hapo home
Ama namna gani pale napata free servicesJamani ππ
Wakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.
Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..
Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
Naunga mkono hoja na siku ingine atajifunza kutoa taarifa kabla,dah utoto raha sanaUmeyatimba mkuu apo ndio utumie akili yako vizuri.
Mwambie huyo aliekuja bila taarifa kuwa una ugeni wa mjomba, anakuja kwa matibabu na atafikia kwako kwa kipindi chote akiwa dar kimatibabu. Asipoamini tafuta mtu mpange awe mjomba mjomba na atokee eneo la tukio.
Tuambie kidogo nasi Tujue na Kusadifu usemayo.Akili ya kuzaliwa hapo ndo inabidi itumike sasa *****!
Hicho ndo kipimo cha IQ yako
Mimi ktk maisha yangu kuna matukio mawili yaliwahi kunitokea, Mmmh!!! Nilichokifanya ndo nikagundua nina uwezo mkubwa sana kiakili
Na huwa nikikumbuka najishika kidevu najisalimu!
Acha uzinziWakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.
Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..
Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
Dhambi yoyote haijawahi kumuacha mtu salama.Naunga mkono hoja na siku ingine atajifunza kutoa taarifa kabla,dah utoto raha sana
Sasa huyo ndiyo kidume cha mbeguFurushi kama furushi.