[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya kawaidaa Sana hayo ujanani, achana na mizee ya kusema kuhusu uzinzi.
Tuliza akili , jumatano bado ni mbali sana, usiwe na wenge .
Fuata ushauri wa kuleta mgeni kama ndugu yako.
Next time mwambie huyo manzi suprise akawafanyie wazazi wake kijijini kwao.
nakaziaKama huna akili usihangaike kua na madem wengi
Huko vyuoni ndio maisha yao yalivyo, hata humu wapo waliowahi kuishi hivyo ila watakataa, kipindi cha likizo vyuoni wanachuo wengi hasa wanawake hutumia uo muda kuishi kinyumba na wanaume wawapendao na kudanganya wazazi kuwa wapo field mkoa fulani.Hivi inawezekanaje binti unatoka nyumbani unaenda kuishi nyumbani kwa kijana ambaye sio ndugu yako tena kwa siku nyingi hivyo..
Au wazazi wangu mimi sio wa nchi hii🤔🤔
Aisee!Kijiji bila wazee siyo Kijiji hiko. Umemshauri vema mkuu.
Nakusalimia mkuu,habari ya siku nyingi!!
Jipe dharura ya safari kwa mtoto wa chuo, huyo mfanyakazi mwache... Mpige kalenda mtoto wa chuoWakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.
Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..
Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
Mmh,, kazi kweli kweliUjana una mambo mengi sana mkuu, muda mwingine unakuta wazazi wamejitahidi kumlea mtoto katika malezi na maadili mazuri, lakini mtoto anawaaibisha bila second thought.
Niamini mimi wazazi wa huyo binti wala hawatajua kama ameenda kukaa kwa mwanaume watoto wanajua sana kudanganya wazazi tuliopitia huko mpaka sasa tumekuwa wazazi hatuwezi shangaa kabisa. Hapo wazazi wasilaumiwe.
MmnhHuko vyuoni ndio maisha yao yalivyo, hata humu wapo waliowahi kuishi hivyo ila watakataa, kipindi cha likizo vyuoni wanachuo wengi hasa wanawake hutumia uo muda kuishi kinyumba na wanaume wawapendao na kudanganya wazazi kuwa wapo field mkoa fulani.
Ndio uhalisia huo hata huyo alieenda kwa mleta bandiko hana anapoenda ukizingatia vyuo vingi kwa sasa vipo likizo fupi ya wiki 2.Mmnh
Sana ila omba asiwe na mambo mengiIla tuwe wakweli jamani,kuwa na mpenzi mmoja ni furaha sana yaan Amani
Inaumiza sanaSana ila omba asiwe na mambo mengi
Kuwa mwaminifu ina faida sana hata kwako mwenyewe.Inaumiza sana
OukayNdio uhalisia huo hata huyo alieenda kwa mleta bandiko hana anapoenda ukizingatia vyuo vingi kwa sasa vipo likizo fupi ya wiki 2.
Zingatia ushauri wa Mabaharia wenzako bila shaka kuna wengine wamekuja PM kukupa ushauri mzuri zaidi.Wakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.
Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..
Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
Ndio mkomege nyie mnadhani sifa 😁😁!
KabisaKuwa mwaminifu ina faida sana hata kwako mwenyewe.