Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,864
- 3,416
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we utakula kashata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we utakula kashata
Hadith tamu hii.. Ktabu ganMara tukatizamana usoni akarembua kidogooo kwa tabasamu tamu na liliojaa confidence...na mi nikamtiza kwa tabasamu la mshangao na lenye swali...Hivi ndivyo nlivyokutana na mdada mzuri mgahawani akanielwa nikamuelwa mara stories mara haooo...twenzetu...basi nikawa nimeokota embe chini ya mbuyuu haoo mpaka DON SUITE ilala...sikuamni kama unaweza kumfaidi mtoto mzuri vile buree kabisa na pesa hatakiiiii....kweli miujiza ipoo...au ni ofa? daah muchas gracias hasma..bint salum....
There is no free lunch eeh, Vladimorovich Putin?DUNIANI KILA KILICHO CHABURE LAZIMA KILIPIWE .....
true datThere is no free lunch eeh, Vladimorovich Putin?
jiandae kukataa mtoto kama si ujauzitoMara tukatizamana usoni akarembua kidogooo kwa tabasamu tamu na liliojaa confidence...na mi nikamtiza kwa tabasamu la mshangao na lenye swali...Hivi ndivyo nlivyokutana na mdada mzuri mgahawani akanielwa nikamuelwa mara stories mara haooo...twenzetu...basi nikawa nimeokota embe chini ya mbuyuu haoo mpaka DON SUITE ilala...sikuamni kama unaweza kumfaidi mtoto mzuri vile buree kabisa na pesa hatakiiiii....kweli miujiza ipoo...au ni ofa? daah muchas gracias hasma..bint salum....
Aaahhhh Basi sawa tutakutana CTC.nikimpa mtu muda wangu tayri sio buree...dont get me wrong
vyote nakubali sikatai hata kimoja umemuonaaa mtoto mwenyewee kwanzaaaa...?jiandae kukataa mtoto kama si ujauzito
ndo wapi huko...Aaahhhh Basi sawa tutakutana CTC.
kweli miujiza ipoo...au ni ofa? daah muchas gracias hasma..bint salum....
SAAAAAAAAAAAAAAAAAAFImi siogopi ukimwi naogopa umaskini...
Wanaita Grid ya Taifa
jini nalo lina hisia ...we hujuiEbo Unashangilia kutembea na jini