kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,277
- 22,077
kapime magonjwa yote....
utajiri na kuharisha wapi na wapi? utajiri wanapata watu wenye afya na nguvu...uko hoi utajiri wapi.Acha kiburi jali afya yako kijanami siogopi ukimwi naogopa umaskini...
mbona ugomvi TY???utajiri na kuharisha wapi na wapi? utajiri wanapata watu wenye afya na nguvu...uko hoi utajiri wapi.Acha kiburi jali afya yako kijana
nimefura ghafla yaan.Ha ha haaambona ugomvi TY???
calm down please TYnimefura ghafla yaan.Ha ha haaa
TayariMara tukatizamana usoni akarembua kidogooo kwa tabasamu tamu na liliojaa confidence...na mi nikamtiza kwa tabasamu la mshangao na lenye swali...Hivi ndivyo nlivyokutana na mdada mzuri mgahawani akanielwa nikamuelwa mara stories mara haooo...twenzetu...basi nikawa nimeokota embe chini ya mbuyuu haoo mpaka DON SUITE ilala...sikuamni kama unaweza kumfaidi mtoto mzuri vile buree kabisa na pesa hatakiiiii....kweli miujiza ipoo...au ni ofa? daah muchas gracias hasma..bint salum....
mekuelewa Jaycalm down please TY
Poa sana TY!mekuelewa Jay