thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,458
- 1,436
Jf imevamiwa mpaka watoto Wa form 2 wamoWakuu nahisi mm ni muhanga wa hili tatizo na pengine kuna watu wanamna kama ya kwangu.....
Huwa napata wakati mgumu sana kumtongoza MTU pale napokutana naye kwa Mara ya kwanza, yaani hapo nikuwa ndo mmekutana naye kwa Mara ya kwanza inaweza ikawa labda njiani au kwenye daladala.
Maana wanaume sie huwa hatukawii kupenda na kama upo single basi kila mwanamke mzuri unayekutana naye unatamani awe wako Ila sasa mbinu za kumuingilia ndo huwa kitendawili....wazoefu tunaomba tushare hapa na wadada mnaruhusiwa kuchangia pia
Kwann mzee babaMbona unaturudisha nyuma
Hahahahaha eti hata watoto wa form tu....hamna mkuu haya mambo hayana watoto wala wakubwaJf imevamiwa mpaka watoto Wa form 2 wamo
Anywhere unaanza kwa kula robo ya pilipili then unashusha mistari
Hao wanaoongea sana ndo hawajui kutongoza sasakama sio mtu wa story na blah blah nyingi kumtongoza mtu tu mara ya kwanza kazi sana
shida ni kutafuta starting point. kama si mtu wa maneno mengi ukikutana na wale hawapendi kusema sema shughuli ipo.Hao wanaoongea sana ndo hawajui kutongoza sasa
Mkuu hujakutana na mabepari weweHivi bado Kuna kutongoza?
Mi nilishasahau.
Natangaza lengo langu na pesa mbele.
Akigoma naendelea mbele!!
Hawa wanawake miaka sio wa kuumiza kichwa, mpe offer ya kitimoto na bia ushamaliza!!
Mkimaliza hapo anakuambia anaogopa kurudi kwake peke yake!!