Daah! Anavaa sponji(kigodoro) makalioni...

Yan ukiona nimevaaa gauni mpaka chini alafu bongeee la churaaa [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]hapo kuna kigodorooo nakuwa nawachoraa tu mnavyovunjika shingooo
 
Yan ukiona nimevaaa gauni mpaka chini alafu bongeee la churaaa [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]hapo kuna kigodorooo nakuwa nawachoraa tu mnavyovunjika shingooo
Jamani shingo zinauma halafu tukivaa neck bandage itabidi tugeuke mazima
Wakati mwingine inabidi tupige kelele tu kwa hasira
 
Yan ukiona nimevaaa gauni mpaka chini alafu bongeee la churaaa [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]hapo kuna kigodorooo nakuwa nawachoraa tu mnavyovunjika shingooo
Ile butt lifter uipatie kwenye skinny
Unatabasamu tu watu wanavyogeuka
Na kung'oa kucha huko barabarani
 
Vipi hivyo vigodoro alivyow3ka makalioni siku anyeshewe na mvua shape yake itakuaje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Am just thinking loud
 
Eti akianza kuangalia kigodoro kwenye kochi, mvaa kigoro hana mbavu kwa mtikisiko wa kicheko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…