Daah! Anavaa sponji(kigodoro) makalioni...

Unatumia nguvu nyingi kujibu umetoka nje ya madaa mkuu why
 
Tatizo unatongoza mademu wa ajabuuuu
 
Safari moja huanzisha nyingine. Mada moja inaweza kuanzisha mada zingine ndogo ndogo.
Mfano.
Mada kuu ya chakula.
Ukianza kujadili suala la vyakula lazima uingize mada ndogo ya usafi.
Unatuharibiaaa mood bhn ss hatutak hayo anzisha uzi tutakujaaa tu kukujibu usiache kunitag
 
H
Huyo demu kiboko sema muhimu umemkubali alivyo kwa wazee wa kubeti tunaita both team to score.

Mie pia wangu anavaaga mara moja moja ingawa chura anae ila akinenepaga chura anamezwa kidogo. So anakuwa hajiamini flani kama kawaida yao ilivyo anatupia kigodoro ku boost ila kwangu mie siwazi. I see no difference maana nimeanza nae akiwa na frogi safi kabisa nainjoy kumoyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…