Daah! Anavaa sponji(kigodoro) makalioni...

Umetoka nje ya madaaaaaa

#kataakuwanaflatscreen#
 
Hahahah!!... nilichokubali akaendeleza game,maana angeacha tungemlaum.
hahaa angeacha ..tungemtoa katika chama chetu aiseee"" sisi huwa tunapiga tu kufidia gharama na muda wetu ..then baada ya hapo ndio kibuti kinafuata"""
 
Hakuna sifa yangu hata moja hapo so ni vema nisikujibu
Hapana. Umeniongopea wala siyo kweli. Na hili ulikimbie
1. Kwann mnaomba sana hela? Ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke hata km umemtongoza leo haitapita siku 5 bila kukuomba hela.
2. Kwann papuchi zenu mnaweka km silaha? Ukigombana na mwanamke usiku lazima unywime papuchi na kuna wakati unapangiwa mchezo kwann?
 
Ila kuna wengine hawaweki vigodoro ila kama wamechongwa
 
Halafu amerelax kabisa anakwambia amevaa mchina,aisee.
 
Mm kama Demiss naenda nao sawa hawa wanaumeee wakipenda sura naenda kununua ngozi ya bandia kama ya mttoot mchangaa navaaa Limask why
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mumeo aje akuchukie tu huku,utaniumiza mbavu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…