Nilipopata na ajal nililia sanaaaaaaa..........Wanaumeeee tumeumbwaaaa matesooo..matesooo ... Kuhangaikaaaaa......
Na akikukamata ni kifiro tu.!Mtu kama huyu ukimzungusha zungushabaada ya kukupa hela ya saloon na amekununilia chips zege mara mbili tatu, unakuta uzi wako fresh JF.
Hapo ukikuta kapiga pamba unadhani utamjua kama kazipata hapo? Pengine utadhani anazitoa bank
Kwa sasa hali sio mbaya..wanajitahidi sana kusawazisha maeneo korofi! Napeta na vortz yangu Mkoa wote wa Katavi, poli to poli hadi Kigoma!Daaah haya maisha basi tu. Miaka ya 2002,2003,2004,2005,2006 maeneo ya mpanda to karema ikola mkoa mpya wa katavi tulipata shida kama hii. Yaani safarini ulikuwa huwezi kutofautisha kati ya konda na abiria. Mwenye muonekano wa nafuu alikuwa dereva tu.
Maeneo mengine mnaishikilia gari isije ikaegemea mti ikabonyea. Daaaaah shikamoo mpanda.
Hongera mkuu nimekaa ikola karema for 8 years miaka hiyo ikiisha wiki hamjavamiwa na majambazi toka congo walioita tz ni dubai basi mshukuru Mungu.Kwa sasa hali sio mbaya..wanajitahidi sana kusawazisha maeneo korofi! Napeta na vortz yangu Mkoa wote wa Katavi, poli to poli hadi Kigoma!
Mkuu hii Nchi imegawanyika sehemu kuu mbili. Mie huwa nasema kuna Tanzania na Tanganyika. Tanganyika inaundwa na mikoa ya Tabora, Katavi, Rukwa, Kigoma, Simiyu, Mtwara, Lindi, Singida, Ruvuma na sasa Njombe na Geita. Hii mikoa bila kujali umbali kijiografia, ni mikoa ya Tanganyika huru. Mikoa inayobaki hapo ndio Tanzania yenu. Inashangaza sana jinsi mikoa hiyo ilivyoachwa nyuma kimaendeleo.Hongera mkuu nimekaa ikola karema for 8 years miaka hiyo ikiisha wiki hamjavamiwa na majambazi toka congo walioita tz ni dubai basi mshukuru Mungu.
Ilifikia hatua wanatuma hadi barua polisi kuwa watafika lini. Jeshi la wananchi lilipoweka kigango ikola kukawa nafuu.Nina miaka kumi sijui kulivyo kwa sasa.