Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,616
Aisee mi mtindi sipendiNimechukua maziwa fresh from the bush(broken)maziwa hayajachakachuliwa kabisa.
Kisha nikayaweka kwenye friji yakapata baridii kiasi yale maziwa.
Alafu nikizima friji langu na maziwa yapo mule mulee unayaacha kama masaa 12 mpaka 15,ukishazima friji alafu likapoa kule ndani kunakuwa na joto joto ambalo linasaidia kugandisha mtindi wako.
Baada ya hayo masaa ukienda kutizama utakuwa ile chupa ina maji maji,alafu utaona ule mtindi tayari unaelea katika yale maji maji ya ndani ya chups ya maziwa.
Baada ya hapo kama unachujio la juisi chukua alafu chujia ule mtindi maji yote yatatoka na utabaki huu mtindi mzito ambao utautia katika chombo kinginee na kusnza kukoroga ikiwa nataka mtindi uwe laini bila mabongeee.
Hapo mtindi unaukoroga na mwiko alafu unatokea ule mtindi lainiiii tayari kula hapo,waweza tia sukari n.k
Hii njia inaweza kuwa na madhara wakuu?,na wewe kama una njia yako iweke tujifunze zaidi.
Mtanisamehe hii thred mwanzo nimeanza kama nafanya mimi alafu hapo kati nimechanganya kama nawafundisha nyinyi,mnivumiliee tu hivyo ndo nilivyofanya mpaka mtindi ukawa mtindiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima ina madhara maziwa yameharibika we unasema mtindi?Nimechukua maziwa fresh from the bush(broken)maziwa hayajachakachuliwa kabisa.
Kisha nikayaweka kwenye friji yakapata baridii kiasi yale maziwa.
Alafu nikizima friji langu na maziwa yapo mule mulee unayaacha kama masaa 12 mpaka 15,ukishazima friji alafu likapoa kule ndani kunakuwa na joto joto ambalo linasaidia kugandisha mtindi wako.
Baada ya hayo masaa ukienda kutizama utakuwa ile chupa ina maji maji,alafu utaona ule mtindi tayari unaelea katika yale maji maji ya ndani ya chups ya maziwa.
Baada ya hapo kama unachujio la juisi chukua alafu chujia ule mtindi maji yote yatatoka na utabaki huu mtindi mzito ambao utautia katika chombo kinginee na kusnza kukoroga ikiwa nataka mtindi uwe laini bila mabongeee.
Hapo mtindi unaukoroga na mwiko alafu unatokea ule mtindi lainiiii tayari kula hapo,waweza tia sukari n.k
Hii njia inaweza kuwa na madhara wakuu?,na wewe kama una njia yako iweke tujifunze zaidi.
Mtanisamehe hii thred mwanzo nimeanza kama nafanya mimi alafu hapo kati nimechanganya kama nawafundisha nyinyi,mnivumiliee tu hivyo ndo nilivyofanya mpaka mtindi ukawa mtindiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah kwa hyo mkuu Bilionea Asigwa ningeyakoroga na yale maji pasi na kuyamwaga mkuu?Sasa mkuu yale maji uliyoyamwaga wakati maziwa yamejikata si ndio kila kitu??
Yaani kifupi umemwaga virutubisho vyote halafu umebaki na makapi in the nice name of mtindi.
Umetumia njia ya kawaida Sana yaan ata sijaona cha kuchukua hapo.
Hayo masaa uliotumia ata bila friji ungefanikiwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifupi mkuu ulichomwaga ndicho maziwa yenyewe.Daah kwa hyo mkuu Bilionea Asigwa ningeyakoroga na yale maji pasi na kuyamwaga mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo siku ingine nisimwage mkuu niyamix pamojas?Kifupi mkuu ulichomwaga ndicho maziwa yenyewe.
Ulichobakiza ni makapi.
HTa kuchemsha hujachemshaNimechukua maziwa fresh from the bush(broken)maziwa hayajachakachuliwa kabisa.