Umejibu vizuri hongera.Hapo nilipoandika 'Hujui Kinyarwanda' sikuwa namaanisha wewe ila ni tafsiri ya maneno Ntakinyarwanda Uzi! ya huyo wa upande wa pili alikuwa anamwambia mwenye hiyo message baada ya kuona anamjibu kwa kiingereza
[emoji23] [emoji23] [emoji23]sijui ulilonga nini mpaka akakupa number yake,au ulipewa na mtu mwingine,lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23]sijui ulilonga nini mpaka akakupa number yake,au ulipewa na mtu mwingine,lol
Hahaha, roger that mkuuAngalizo:
Endapo utafanikiwa kung'oa huyo mtoto basi hakikisha unafanya nae kazi kwa weledi kwa sababu utakua unaliwakilisha taifa letu, tafadhali sana usituangushe mkuu watanzania tunakutegemea.

Hahah ni kweli mkuuMkuu naona umeamua kuvuka boda,sio diamond kila siku ndio anaenda kimataifa hata sisi inabidi twende kimataifa.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ok sorry thenHapo nilipoandika 'Hujui Kinyarwanda' sikuwa namaanisha wewe ila ni tafsiri ya maneno Ntakinyarwanda Uzi! ya huyo wa upande wa pili alikuwa anamwambia mwenye hiyo message baada ya kuona anamjibu kwa kiingereza
Mipovu ya nini bidada?!.... Yeye anatafsiri wewe unachemka!....niliandika ninachokijua. Sijakulazimisha ujibu.kama wewe unajua andika kilicho sahihi. Punguza ushamba dia.
ccm ikifa vichaa wataisha. Yeye kakili kuwa hakumaanisha mm. Haya unaweza kutuambia maana ya hayo maneno.?? Najua nilichokiandika ni sahihi. Punguza ushamba soma uzi wote uone majibu yake.Mipovu ya nini bidada?!.... Yeye anatafsiri wewe unachemka!....
biteBite= mambo
Nibyiza= poa au salama
Kontakumenye= sijakujua/ sikujui
Uranzi= inanijua
ni ishu ya kuseti tu kwenye appMkuu unafanyaje mpaka hiyo signature inaonekana hapo?