Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Kuna dada nipo nae kwenye hiace(maarufu kama daladala kwa Dar) hapa amenishangaza sana
'
Kuna dada mmoja kampigia simu kisha akawa anazungumza nae,ameonekana kama anamponda yule aliempigia simu,hicho ndo kilichonifanya nimuulize dada huyu kulikoni
'
Akaniambia amechoshwa na huyo rafikie,kila siku anatendwa lakini hamuachi kisa eti anampenda na akitendwa anamletea yeye mashitaka
'
Nikamuuliza kwani yeye hana mpenzi?
'
Akaniambia hana muda mchafu,kwani kama mtu yoyote anataka amchukie basi amtamkie mambo ya mapenzi,akasema nyumbani kwake ana ile midoli ya umeme na inamridhisha!
'
Khaaa!Nimeduwaa mpaka ameshuka nimeshindwa kuendelea na maswali!