Daaaah Nassari ana mke mzuri

Dah kweli tunatofautiana kuona uzuri,kwa mtazamo WANGU mke wa marehemu(RIP)Filikunjombe ndio mzuri.
 
Mtu mjanja anaona mwanamke wa kawaida. Ndivyo alivyofanya nasari.
MKE WA NASARI HATA KICHWANI YUPO VIZURI NI GRADUATE NA AMEFANYA KAZI NA NGO MOJA TA WAMAREKANI INAITWA AFRICAID KAMA MMOJA WA VIONGOZI KWA MUDA MREFU KWAHIYO USIFIKIRI NI WA KAWAIDA KIHIVYO KAMA YULE ALIYESEMA BUNGENU HEADPHONES ZIFUNGIWE KULETWA NCHINI
 
Povu linakutoka unashindwa kuelewa simple statement. Hapa imewekwa picha, watu wanajadili muonekano tu, wengi hawamjui. Nimesema kawaida kwasababu una kichwa kizito nakufafanulia KAWAIDA KIMUONEKANO.
 
Duh! Anayejambia mbali? Ndio wa vipi huyo mkuu?
Msambwanda wa maana unaning'ia huko kama tumbo la bata !demu wa hivyo akijamba hamumsikiia maana exhause iko mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…