Da uhamiaji noma

sakatonge

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
52
Reaction score
7
Hawa jamaa noma kwa rushwa kila siku nilikua naskia tu sasa najionea mwenyewa, nilienda makao makuu pale zanzibar jamaa wa dirishani wakaona naomba Pass port ya biashara baada ya kukagua maombi yangu nikafunga finger print fresh nikaambia nenda baada ya wiki mbili wiki ya pili wakanambia lete cheti original cha mama nikapeleka nilipofika jaama akanambia huyo kakosea lete id ya mama nikapeleka kufika wakanambia bado barua ya mwenye leseni nikawapa nilikua nayo kwenye mkoba mara jamaa kenda karudi ananambia bado id ya mwenye leseni nilichoka
 
Ukiwa msichana chini miaka 25 makao makuu bila laki3 hutoi pasi yako, asiyeamini ajaribu
 
Jamani hiyo ndo rushwa? TAKUKURU hebu mtufafanulie rushwa hapo ni ipi. Sijaelewa kabisa jamani.
 

Hujaonesha sehemu ambayo walau kuna ashiria udaiwaji wa rushwa km ulivoanza kueleza mwanzoni mwa maelezo yako, Labda kwa usumbufu ambao unauona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…