ts true mshkaj kabadil game vya kutosh lakin uoni ya kwamba one atakuja kuacha game kisa mziki anaofanya ni kama anajifurahisha.coz hapat show,no airtime.so utakubaliana na mimi kuwa one hana zali coz hawez kuchukiwa na media mbal2.muzki anaweza ila hana zali kama jaymoe&solo.
ndio maana nakwambia jifunze muziki dogo...msanii mkali ni yule anayefa nya mziki mzuri sio anayepigwa sana redioni.....na angekuwa anafanya muziki wa kujifuraisha leo hii usingesikia anazungumziwa umu na great thinkers tena kwa kukubalika..
na swala la airtime anapata sema na redio chache zinazoweka pembeni ugomvi binafsi na kazi,na media nyingi za kibongo zinafuata mfumo wa redio moja ndio maana usipopewa airtime na wao na redio zingine zinafuata mfumo huyo huo wa upigaji nyimbo...kiufupi ni kwamba kuna mgogoro kati ya duke na tamaduni muzik vs mawingu ndio maana usikii nyimbo za mlab kwa hao jamaa....by the way labda uniambie wewe ni msanii gani wa rap kizazi hiki mwenye zali na mafanikio....??
ndio maana wajanja huwa hawaangaki na maredio yenu ya fm,coz hakuna muziki mzuri kama zamani ni kelele tu....tafuta album ysa One "SOGA ZA MZAWA" utaelewa uyu jamaa ni noma.

Mimi napingana na wewe kuhusu kutopigwa mziki wa stereo maana ndani ya miezi miwili kafanyiwa intervie kwenye kipindi cha xxl mara 2, achilia mbali kumtaja taja na kupigiwa simu mara kafanya hiki mara kasign mkataba na kampuni ya AY.
Kwa upande wangu one the incredible ni mkali zaidi ya stereo nadhani hata ma legendary kama farid kubanda aliwahi sema kama kuna mtu anamfikirisha katika uandishi mmojawapo ni the incredible.
Sema kwakuwa jamaa uandishi wake na flow yake ni deep sana hapati airtime yani anakubarika zaidi kitaa siyo kwenye media
stereo kajitoa mlab (tamaduni muzik)...mara tu baada ya kujitoa ndio umeanza kumsikia uko onapomskia tena kwa fujo zote na hana nyimbo mpya.wat about niki mbishi unamskia sku izi?kwa nini umskii....tafakari!
hajajitoa mkataba wake umekwisha na walikuwa wameshaanza kumpa promo hata before mkataba haujaisha kuna kipindi hadi kapeleka pale dogo flani anachana kikristo kutoka uclas
aya bwana tusibishane amini unavyo aminishwa na umeze unavyomezeshwa...nilijaribu kuwafungua macho ila naona mapenzi yako ayataki kabisa kuuona ukweli...
hahahah
WHY:confused2: