Da' Chemi Chemponda afiwa

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
40,000
msiba massachusetts wa mumewe Da'Chemi chemponda
(Reverend Douglas G. Whitlow 1951-2010)

Wadau, nasikitika kutangaza kifo cha mume wangu, Reverend Douglas G. Whitlow, kilichotokea nyumbani hapa Cambridge, Massachusetts leo asubuhi (January 18, 2010). Alikuwa na matatizo ya figo kwa muda mrefu.

Mipango ya mazishi ninafanya na nitawajulisha mara ikikamilika. Kwa habari zaidi mnaweza kuwasiliana na mimi:

Chemi Che-Mponda Whitlow

617-497-4353 /617-497-4353

au

Ezekiel Concord Luhigo

781-632-3605
NB: Kwa atakaye piga toka nje ya Marekani tafadhali weka namba namba ya mwito ya nchi +1 mwanzoni mwa tarakimu hizo kumi zilizotolewa.



Marehemu mume wangu, Reverend Douglas G. Whitlow, atazikwa siku ya Ijumaa , January 22, 2009 katika makaburi ya Cambridge, (Cambridge Cemetery) eneo la wanajeshi.

Viewing/Wake/Funeral itakuwa

Spears Funeral Home,
124 Western Avenue
Cambridge, MA 02139

Viewing/Wake 10:00 -11:00am

Funeral Service 11:00 - 12:30pm

(Tafadhali zingatia muda)


Procession to Cemetery Immediately afterwards. Internment at Cambridge Cemtery, Coolidge Avenue in Cambridge, MA

Luncheon itakuwa

International Gospel Church
85 Crescent Ave.
Chelsea, MA 02150

********

Unaweza kutuma kadi:

Mrs. Chemi Whitlow
10 Laurel St. #4
Cambridge, MA 02139 USA
************************************

"Your monetary condolences will be highly appreciated in this time of great need, and should be directed to:
Chemi C Kadete
Bank of America
Account number : 004630682878

Routing: 011000138
For more Information Call Chemi at 617-497-4353
MY TAKE:
Kwa niaba yangu na bila ya shaka mashabiki wa kazi zake nyingi za sanaa napenda kutoa pole ya dhati kwa Da Chemi kwa msiba huu mkubwa ulioikumba familia. Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi. Amina.

 
Pole sana Dada Chemi kwa msiba mkubwa uliokufika. Namuomba Mwenyezi Mungu akupe nguvu na faraja kipindi hiki kigumu kwako na kwa wahusika wote wa msiba huu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
.......Pole Da Chemi Kwa msiba mzito, Mungu akupe faraja kwa kufiwa na mumeo.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe.
RIP Rev. Douglas G. Whitlow.
 
Pole sana dada yangu Chemi,tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu sana kwako...R.I.P shemeji Mchungaji Douglas G. Whitlow..Daima tutakukumbuka
 
Raha ya milele umpe e bwana na mwanga wa milele umuangazie.Apumzike kwa amani.Amina
Pole sana dada Chemi
 
Da Chemi na familia, jamani poleni sana na msiba mzito sana huu kwa familia yenu... Mwenyenzi Mungu awape ujasiri katika kipindi hiki kigumu jamani....Mwenyenzi Mungu ampe kaka yetu pumziko la amani...... Poleni sana na Mbarikiwe sana....
 
Pole sana Da Chemi na familia yako katika kipindi hiki kigumu Mungu amweke marehemu mahali pema peponi
 
Pole Da Chemi, tuko nawe tangu 'Daily News' mpaka sasa 'Swahili Times'.

Mungu akutie nguvu " Uyaweze yote katika Yeye"

R.I.P Douglas G. Whitlow.
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Pole sana dada Chemi pamoja na familia.
 
Back
Top Bottom