Da' Chemi Chemponda afiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Da' Chemi Chemponda afiwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mzee Mwanakijiji, Jan 19, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,384
  Trophy Points: 280
  msiba massachusetts wa mumewe Da'Chemi chemponda
  [​IMG](Reverend Douglas G. Whitlow 1951-2010)

  Wadau, nasikitika kutangaza kifo cha mume wangu, Reverend Douglas G. Whitlow, kilichotokea nyumbani hapa Cambridge, Massachusetts leo asubuhi (January 18, 2010). Alikuwa na matatizo ya figo kwa muda mrefu.

  Mipango ya mazishi ninafanya na nitawajulisha mara ikikamilika. Kwa habari zaidi mnaweza kuwasiliana na mimi:

  Chemi Che-Mponda Whitlow

  617-497-4353 /617-497-4353

  au

  Ezekiel Concord Luhigo

  781-632-3605
  NB: Kwa atakaye piga toka nje ya Marekani tafadhali weka namba namba ya mwito ya nchi +1 mwanzoni mwa tarakimu hizo kumi zilizotolewa.  Marehemu mume wangu, Reverend Douglas G. Whitlow, atazikwa siku ya Ijumaa , January 22, 2009 katika makaburi ya Cambridge, (Cambridge Cemetery) eneo la wanajeshi.

  Viewing/Wake/Funeral itakuwa

  Spears Funeral Home,
  124 Western Avenue
  Cambridge, MA 02139

  Viewing/Wake 10:00 -11:00am

  Funeral Service 11:00 - 12:30pm

  (Tafadhali zingatia muda)


  Procession to Cemetery Immediately afterwards. Internment at Cambridge Cemtery, Coolidge Avenue in Cambridge, MA

  Luncheon itakuwa

  International Gospel Church
  85 Crescent Ave.
  Chelsea, MA 02150

  ********

  Unaweza kutuma kadi:

  Mrs. Chemi Whitlow
  10 Laurel St. #4
  Cambridge, MA 02139 USA
  ************************************

  "Your monetary condolences will be highly appreciated in this time of great need, and should be directed to:
  Chemi C Kadete
  Bank of America
  Account number : 004630682878

  Routing: 011000138
  For more Information Call Chemi at 617-497-4353
  MY TAKE:
  Kwa niaba yangu na bila ya shaka mashabiki wa kazi zake nyingi za sanaa napenda kutoa pole ya dhati kwa Da Chemi kwa msiba huu mkubwa ulioikumba familia. Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi. Amina.

   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  May his soul RIP
   
 3. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  duh,

  oleni sana! Mungu Mkubwa na mweza wa yote.
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,076
  Trophy Points: 280
  Pole sana Dada Chemi kwa msiba mkubwa uliokufika. Namuomba Mwenyezi Mungu akupe nguvu na faraja kipindi hiki kigumu kwako na kwa wahusika wote wa msiba huu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Mayall beings attain enlightenment.
   
 6. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  pole sana da chemi kwa msiba huu mzito.mungu amlaze mahali pema peponi.
   
 7. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .......Pole Da Chemi Kwa msiba mzito, Mungu akupe faraja kwa kufiwa na mumeo.
  Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe.
  RIP Rev. Douglas G. Whitlow.
   
 8. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Pole Da Chemi. Mungu akupe nguvu & ujasiri
   
 9. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Pole sana dada yangu Chemi,tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu sana kwako...R.I.P shemeji Mchungaji Douglas G. Whitlow..Daima tutakukumbuka
   
 10. N

  Nandoa Member

  #10
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Pole Da chemi. Roho ya marehemu ipumzike kwa amani, Amina.
   
 11. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Pole sana
   
 12. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Poleni kwa waliopata msiba Mjazwe nguvu katika kipindi hiki kigumu.
   
 13. annamaria

  annamaria Senior Member

  #13
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Raha ya milele umpe e bwana na mwanga wa milele umuangazie.Apumzike kwa amani.Amina
  Pole sana dada Chemi
   
 14. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Da Chemi na familia, jamani poleni sana na msiba mzito sana huu kwa familia yenu... Mwenyenzi Mungu awape ujasiri katika kipindi hiki kigumu jamani....Mwenyenzi Mungu ampe kaka yetu pumziko la amani...... Poleni sana na Mbarikiwe sana....
   
 15. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2010
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,071
  Likes Received: 1,107
  Trophy Points: 280
  Pole sana Da Chemi na familia yako katika kipindi hiki kigumu Mungu amweke marehemu mahali pema peponi
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jan 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kumbe Chemi alikuwa ameolewa.
   
 17. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2010
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Pole sana Chemi, Mungu akupe nguvu
   
 18. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Pole sana mama Mungu awe nawe katika kipindi hiki kigumu!
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,318
  Trophy Points: 280
  Pole Da Chemi, tuko nawe tangu 'Daily News' mpaka sasa 'Swahili Times'.

  Mungu akutie nguvu " Uyaweze yote katika Yeye"

  R.I.P Douglas G. Whitlow.
   
 20. Tshala

  Tshala JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 246
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Pole sana dada Chemi pamoja na familia.
   
Loading...