Da!! Baba zetu bwana utachoka!!

Da!! Baba zetu bwana utachoka!!

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
436
Reaction score
285
Kila baba mwenye mtoto umwambia mtoto wao eti soma kwa nguvu zote achana na michezo ya ajabu tena kwa ukali.kwani mimi enzi zangu nilikuwa nashika namba moja.je baba yake nani alikuwa anakuwa wa mwisho au enzi zao hapakuwa na wamwisho wote walikuwa wanashika namba moja.
 
A way to inspire the kids...what message could you tell your kids when it comes to school?
 
Mi nahic labda baba yako kwan baba yangu alikuwa ft hata kaz alipata yaukwel.
 
Naona hayo yanamhusu Mzee wako. Ndio maana kila siku anailalamikia serikali.
 
Kila baba mwenye mtoto umwambia mtoto wao eti soma kwa nguvu zote achana na michezo ya ajabu tena kwa ukali.kwani mimi enzi zangu nilikuwa nashika namba moja.je baba yake nani alikuwa anakuwa wa mwisho au enzi zao hapakuwa na wamwisho wote walikuwa wanashika namba moja.

Mh: Olesendeka si ndio wamwisho darasani alipata ZERO nadhani miepatia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom