D

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
HOTELI YA KCC KIBAHA MAILI MOJA YASHIKA MOTO MCHANA WA LEO

Moto Mkali ukiendelea kuteketeza eneo la jiko la hoteli ya KCC iliyopo Kibaha Maili Moja, Mkoani Pwani mchana wa leo . Askari wa zimamoto bado wanaendelea na uzimaji wa moto huo. haijafahakima bado kama kuna mtu aliyepoteza maisha au kujeruhiwa kutokana na tukio hilo la moto.
uploadfromtaptalk1473882497441.jpg
uploadfromtaptalk1473882505362.jpg
FB_IMG_1473882710035.jpg
 
Back
Top Bottom