DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,049
- 30,954
Wazungu wanasemaAngekuwa anatenda yale anayosema la hasha angekuwa bonge la prez daa ila ni 'mnafiki' mzuri sana kiasi anajidisqualify kwenye mambo mengi mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly!Wazungu wanasema
Actions speak louder than words.
Maneno yake yanaonyesha ana nia njema lakin matendo yake ni sifuri
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Na ni muoga pia... Nakuongezea.Vitu viwili ambavyo ni nadra kwa viongozi wetu ambavyo Donald anavyo.
1. He is a God fearing person, from his heart!
2. Ni mkweli na muwazi, anaheshimu watu wake wa karibu na kukubali ushauri!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona taabu yake. Kiongozi anatakiwa kuwaunganisha watu. Katika speech yake ya Arizona hakuwa anajaribu kuwaunganisha watu. Alikuwa akiendelea na kampeni yake ya toka hajapata uraisi, yaani ya kuwagawa watu na kuwaaminisha wafuasi wake kwamba watu wasiomfuata yeye ni wahaini wasioipenda nchi yao.
Baada ya kusema hayo, nashangaa sana watu wanapodai alipangua maswali au hoja yoyote. Kama unajua Kiingereza, utaona kabisa jamaa asiposoma aliyoandikiwa, hawezi kueleza kitu kikakamilika. Hana mtiririko wa hoja. No wonder wafuasi wake wakubwa huko USA ni non-college educated.
Magufuli hana hizo sifa kabisa coz magu hashauriki hata kidogokwani Rais Magufuli hana sifa hizo ?
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Hahahahahaha mkuu upo?Hauielewi USA wewe uliza uelezewe! Unajua kwa nini D. Trump amekuwa Raisi wa USA? Waliomuingiza D.Trump ni Wazungu middle class na hao ndiyo wanaompigia kibesi, hao non college unaowaita ndiyo democrats na ndiyo waliompigia kura Clinton ambao ni masikini weusi na Wahamiaji wengine lkn support base ya Trump ni middle class Wazungu, ni maconservatives na conservatives siku zote ni matajiri!
Na nyie mnawaunga mkono hao wazungu matajiri sio? Kuliko hao waafrika wenzenu na watu wengine maskini... Au nyie ni bendera fata upepo?
Unaonaje ukipambana na hali yakoNa nyie mnawaunga mkono hao wazungu matajiri sio? Kuliko hao waafrika wenzenu na watu wengine maskini... Au nyie ni bendera fata upepo?
Sent using Jamii Forums mobile app