D.Trump speeks in Phoenix, USA!

Kasemaje huyu simba. Aminia sana hii mutu. In less than a year in office magaidi wameanza kusahaulika.
 
Kasemaje huyu simba. Aminia sana hii mutu. In less than a year in office magaidi wameanza kusahaulika.
Magaidi naona wameenda kusaka mbinu mpya ila mzee noma hana simile na hayo mamtu anayapa makavu live! Am never tired listening this man, very unpredictable! Juzi walijua anajitoa kwenye Afghanistan war what a surprise! Kila mtu akabaki mdomo wazi, very honest man! He was supposed to takw office eight years ago now things could be different! Let's give him a chance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu he is among the best presedents America ever get. Kiongozi anayelikutanisha jopo lake la juu kujifunza neno la Mungu huyo ni hekima ya Suleiman sio wa mchezo mchezo. Uarabuni hapo wameamua kutajana wenyewe kwa wenyewe nchi zipi wafadhili wa ugaidi n.k. Mdogo mdogo watapiteana tu; muda utaongea.
 
Ana maamuzi ya kukurupuka, achelewi kumweka Hilary ndani kama uchochezi
 
Hahaha
 
Vitu viwili ambavyo ni nadra kwa viongozi wetu ambavyo Donald anavyo.
1. He is a God fearing person, from his heart!
2. Ni mkweli na muwazi, anaheshimu watu wake wa karibu na kukubali ushauri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa mimi namkubali sana,kweli mda mwingine huwa anachemkaga hadi naona,daaah!!.Ila overall jamaa yuko powa sana,akisimamia kitu huwa hatetereki.Mkuu naona DT ametishia Goverment Shutdown if congress wakishndwa ku fund border wall. Jamaa anahasira sana na huu ukuta.
 
Kuna kitu ambacho wengi hawajui, Donald anafanyaga makosa makubwa sana ila yupo makini sana kwenye kudili nayo kiasi kwamba mwisho wa siku lazima ata win tu. He knows how to deal with his flaws no matter the situation, wengi wetu hapo huwa panatushinda unajikuta umegive up unaona dunia nzima ipo mabegani mwako! Trump ukitaka kujua how strong he is basi wakati amekosea kitu, huwa yupo ka simba aliejeruhiwa never miss an opportunity!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True,kama hii issue ya Neo-Nazis na KKK,kwenye statement ya kwanza alizingua kidogo kwemye twitter,Ila alipofanya press,hahaha pale ndo niliamini huyu jamaa anajua kucheza na beat asee,Alikuwa akipangua maswali kiakili zana.Ilaa hii issue ya white supremacist DT inabidi awe makini sana,asipoangalia ataigawa nchi sana,japo hasa sasa hivi hali sio nzuri.But he still have time to can make things right.
 
Kweli DT ana wapenzi. Mimi namuona mweupe sana mbabaishaji.
 
Yeah ni kweli, swala la ubaguzi lipo sana before hata hajaingia WH, sema saivi linapewa coverage kubwa na liberal media wanaoamini chanzo ni Trump ila si kweli




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli DT ana wapenzi. Mimi namuona mweupe sana mbabaishaji.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hata mm nlikuwa ivo before ila baada ya kujisumbua kumsoma na kumsikiliza nilijikuta naona vitu tofauti! Ni mtu makini kuliko tunavodhani na kuambiwa kila siku hata Obama alikiri wazi kuwa watu wasimchukulie Trump kawaida kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona taabu yake. Kiongozi anatakiwa kuwaunganisha watu. Katika speech yake ya Arizona hakuwa anajaribu kuwaunganisha watu. Alikuwa akiendelea na kampeni yake ya toka hajapata uraisi, yaani ya kuwagawa watu na kuwaaminisha wafuasi wake kwamba watu wasiomfuata yeye ni wahaini wasioipenda nchi yao.
Baada ya kusema hayo, nashangaa sana watu wanapodai alipangua maswali au hoja yoyote. Kama unajua Kiingereza, utaona kabisa jamaa asiposoma aliyoandikiwa, hawezi kueleza kitu kikakamilika. Hana mtiririko wa hoja. No wonder wafuasi wake wakubwa huko USA ni non-college educated.
 
Vitu viwili ambavyo ni nadra kwa viongozi wetu ambavyo Donald anavyo.
1. He is a God fearing person, from his heart!
2. Ni mkweli na muwazi, anaheshimu watu wake wa karibu na kukubali ushauri!

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani Rais Magufuli hana sifa hizo ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…