Jamani, kule business na economic watu si wengi, kwa hiyo sijakosea jukwaa.
Hivi, hii cyprus crisis ndio imekuwaje? Kukaywa 6.76 percent ya savings mbona kiama?
Anyway, thank God bunge lao limekataa.
Natamani kuelewa ila mie ni mchumi wa pesa zangu, ikishakuja hizi economic intergrations nachanganyikiwa.
Nisaidieni waungwana
Unajua wacongoman hela zao wanaweka benki kwa nadra sana. Mobutu alikuwa akifilisika anakomba hela za watu walizoweka bank....
Unajua wacongoman hela zao wanaweka benki kwa nadra sana. Mobutu alikuwa akifilisika anakomba hela za watu walizoweka bank....
Mie natengeneza bank humu ndani, kibubu cha maana
Bora nikachukue nssf yangu mapema, maana hiyo 2015 tusije tukaletewa mapichapicha