Cyprian musiba a.k.a mzee wa mwibara yuko wapi?

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,495
12,802
Wanajamvi ni siku nyingi sasa simuoni wala kumsikia mzee wa mwibara ktk anga za habari na michezo kwa ujumla. Ninapenda kujua huyu bwana yuko wapi.....?
 
Cyprian musiba yupo dar-es-salaam anajihusisha na siasa baada tu kura za maoni kutotosha kule mwibara alibaki katika siasa za kawaida tu kwa kuwa amezaliwa ndani ya ccm na kulelewa na ccm na atabaki kuwa mwanaccm..namba yake ni 0716323201 tuma sms itamfikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom