niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,565
- 5,179
Mkuu hiyo itakuua ha ha ha ha
Itakua ashauzaMrejesho mkuu
Watanzania Bwana kwani kipaombele Cha Kila Mtu ni Nyumba??
Aliyenunua nae ataleta uzi humuItakua ashauza
Wadau habari,nina kagari kangu ka vitz old model.Kumbukeni mimi ni kabwela nimejichanga changa tu japo na mm nipate kausafiri.
Sasa kalikuwa na leakage, fundi akafungua cylinder head akatibu leakage akafunga.Baada ya hapo kakawa kanazima zima mguu usipokuwa kwenye accelerator.Nikakarudisha kwa fundi,akafungua,akakuta cylinder head gasket imeungua.
Akabadilisha,akakawasha kakaunguruma kidogo,kakawa kana kanachanganya compresion.Akafungua cylinder head tena.Kakuta gasket imeungua.Akabadilisha tena akapiga pasi cylinder head.
Akafunga,akawasha,imeungua tena. Wadau naombeni msaada.Shuda iyakuwq ni nini hapa
Nawe mnunulie gari ya kutoshea majaniTafuta hela kijana vitz sio gari itakua hyo ni baskeli ya shamba boy wangu kwenda kukatia majani nguruwe zangu
Kupanga ni kuchagua. Na kila mtu ana kipaumbele chake. Mimi nilianza kazi tu mwaka mmoja nikanunua gari. Tena si kwa mkopo bank. Watu walianza na hizo stories.nliwaambia tu wasinipangie maisha. Wakitaja kujenga wajenge sili kwao,silali kwao. Siwategemei.It seems gari umeinunua bei rahisi sana. Dah!
Kuna mzee alinihusia akaniambia 'kijana, ukitaka kuendelea wekeza kwenye nyumba, siyo magari'. Mfano, hela yako ungenunulia kiwanja, then baadaye ukiwa na hela nzuri unanunua gari nzuri.
Ila sasa hiyo nzuri nayo si itaharibika tu! Cheap is expensive!
Sasa wenye pesa na akili hawawezi mnunulia shamba boy Vitz. Huwa wananunua Pick Up. Inaweza kuwa Nissan, Toyota, Ford n.k wewe umeusikia huu msemo kwa shemeji yako yule mlevi akiwa amelewa umeubeba hivyo hivyo. Ngoja siku shemejio awape talaka.Tafuta hela kijana vitz sio gari itakua hyo ni baskeli ya shamba boy wangu kwenda kukatia majani nguruwe zangu
Watanzania wengi hasa hawa middle class. Hununua LIABILITIES wakati mwingine wakidhania ni asset.Nimejibu kulingana na changamoto yake.
Hiyo gari kwa namna ilivyo, hata akifanya tax, siyo asset bali ni liability. Kanunua rahisi ila kiuhalisia ni gharama kubwa. Ndiyo maana nikasema angenunua ardhi kwa hiyo pesa ndogo ingekuwa sawa kuliko hilo gari bovu lake
👍Watanzania wengi hasa hawa middle class. Hununua LIABILITIES wakati mwingine wakidhania ni asset.
Beli inaenda karibu 2m kasoroTafuta tu engine nyingine.,
Na kama ni 1SZ nianze kukupa poleee mapema. Maana bei yake inaukaribia mswaki wa Harrier 2AZ.