nimeinstall Mcleaner kutoka cydia, ni phone 4 hiyo firmware ndo hata cjui
MrejeshoWndugu wapendwa naomba sana msaada maana nimechanganyikiwa, nilikuwa na install application kutoka cydia, ikakubali kuingia sasa kila nikitaka kurestart springboard inakatakaa kurestart na application zote zimecrash cwezi fanya chochote naomba msaada tafadhali irudi kama kawaida!
11 years ago mkuu na cydia ishagajifia huko na mambo ya jailbreaking. Dah wish muda ungerudi nyuma kwakweliMrejesho
11 years ago mkuu na cydia ishagajifia huko na mambo ya jailbreaking. Dah wish muda ungerudi nyuma kwakweli