Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,411
Habari JF,
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Juvenary Shirima ameshtakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyopo Jijini Dar es Salaam akituhumiwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia WhatsApp.
Mtuhumiwa huyo anatuhumiwa kusambaza ujumbe kuwa kuna mpango wa kumuua Mbunge Godbelss Lema lakini amekana mashtaka hayo.