mkuu naona kama huyu BRENDA 18 ndo umeandikiwa manake kama mnaendana hivi mungu hamtupi mja wake pachaaa hebu mkutane muyamalize mie na Madame B tutakua pembeni tunasulihisha pachaa
nimekumbuka utoto...ukiambiwa sema hakyamungu...unazuga 'hakyababa'....ukilazimishwa unajitetea kuhapa kwa jina la Mungu dhambi...hapo jua huyo mtu muongo huyo...

Madame B, hayo mapicha mimi sijayaona mbona? Kama yameshaonwa bure nitupie na mimi kamoja nikuone, kuna ka $50 sema tu unataka western union au moneygram ukachukue LOL.
Umesoma maelezo yangu!! Kwa picha za utupu zilizovuja ni upu.mbavu wa waliojipiga hizo picha, they shouldn't have taken them in the first place. Hiyo kwangu sio cyber bullying ni ujinga wao

Uko sahihi, mtu aliye na akili zimekamilika hawezi kujipiga au kukubali mtu ampige picha akiwa uchi...Hivi unaanzaje kwanza kupiga picha mtindi mpaka **** liko wazi alafu unataka uheshimiwe.