Cyberbullying

Kuwa na team si mpaka ku register majina...ni kuwa na wafuasi tu ambao wanaku support no matter what...kiasi kwamba mtu ambaye ni neutral (third party) haoni essence ya wewe kupewa likes kwa ulichoandika mfano umetukana tusi kuubwa afu unakuta watu kama 5 wanakupiga like...hata mwenyewe ulotukana waweza shangaa...likes for what...

Kumbe wanakupenda as a person si kwa ulichoandika...


 
kwa haya ninayoyashuhudia staki kuonana na mtu yeyote live ntaendelea kua fake tu!
nachukia sana privacy zangu kuwa wazi hasa ambazo sijaamua kuziexpose
here in jf i neither have team nor enemy
na MUNGU aniongoze nisishawishike na vitu vidogovidogo vya humi
nna rafiki wa kuchat nao kawaida tu yaani
 

Wewe NK una team humu?
 

mmmmmmh jf zaid ya tuijuavyo sinza kwetu id yako original ni ipi
 
Uko sahihi, mtu aliye na akili zimekamilika hawezi kujipiga au kukubali mtu ampige picha akiwa uchi...Hivi unaanzaje kwanza kupiga picha mtindi mpaka **** liko wazi alafu unataka uheshimiwe.

Kweli mkuu. Zikishavuja waanza kuleta story zao kama hizi eti cyberbullying

Bongo tunacopy mavazi ya nchi za watu hadi matatizo tunakopi. Leo na sisi tunasema tuna tatizo la cyberbullying kwenye jamii yetu hahaha!! Sijui itanonesha tumeendelea au vp! Watu wanaiga hadi matatizo ya nje. Wengine wameanza kusema hata humu wamekuwa bullied, uwe bullied JF na nani wakati hakuna hata mtu anakujua in person.

Narudia hakuna cyberbyullying Tanzania
 
Hahahahahahahaha
kwenye huu uzi kuna mahali nimetajwa na ndio najibu km ifuatavyo:::
hii inaenda kwa Yule/hao broke a$$$ nigga(s) anayeiona/wanaoiona jf km kijiwe cha show off
1. Je tulivyojiunga na JF tulisajili vyeti vyetu hadi ujue nani msomi na nani asiye msomi? Au mitandaoni tunaingia na lebo za vyeo vyetu?? Meeen u don't know people so back off that smelling @$$.
2. Jf inalipa mishahara kwa active members?? Mtu asiende kujitafutia anaambiwa amekimbia Jf....nimkimbie nani humu???? na kwa lipi kwa kipi?? Me kazi is my life... Nazunguka kuzitafuta kwa mikono na jasho langu... So 24/7 JF may be nikifika retirement age.

3. Hapa ni NO shobo so ukishoboka lazima uondoke na nnya. Niliheshimu watu nikijua niko na watu kumbe niko na mizoga isiyojitambua

4. Haimake sense mtu kuanza kulist kile anamiliki ....for what??? Ukiona kelele jua hunavyo na wewe ndio elimu less na kapuku. Alafu eti matawi?? meeem reseve the bulshit u own coz no one is here for such fuc...king shits. Matawi kwa kuuza maku kuendesha maisha na kununua vyeti ili kuonekana wasomi???.

5. Mwisho peace and love to all the JF real niggers and death to all mother...f©çkærs
 

Ha ha ha.. Mrembo by Nature mbona umeni cyber bully kiasi hicho?? Teeh #amjustKidding . Lakini maneno mazito hayo..mweh!
 
Last edited by a moderator:
Mnh mmenikumbusha when i was22 i had my first boyfriend,nilienda shoping nikanunua sexy lingarie nikapedeza tukakubaliana anipige picha nikapiga pwaaa!tukazisave kny computer baadae tulivyoboana nikaamua kumuacha siku naondoka nikazifuta kny computer kwa hasira akaniambia 'nimezisave picha zako nitazisambaza kny magazeti',,,,he ZEUTAMU ilivyotoka asizisambaze picha mie malaya natoka na wapopo.....niliishiwa nguvu ningekua niko peke yangu nisingejali kitendo cha kudhalilishwa mbele ya familia yangu na kaka yangu kimeniuuma sana kilw nikimfikiria najiambia sijui nilimtoa wapi huyo mwanaume?
Dont take nude pictures they will come OUT eventualy....like water finds the stream....out,out.....
 

Haya ya picha japo sijawai kupiga maishani mwangu...naelewa sana mana nimeshasoma kinachotokea kupitia articles mitandaoni...

Kama juzi kati kuna watu wameingia kwenye simu za mastaa na kuiba picha ambazo zili meant kuwa private...
Nadhani wengi watakuwa wamejifunza...hawatachukua picha tena hata kama ni for private use...as long as uko connected na internet nothing is private ...hata ufute wanaweza ku retrieve

Kuna waziri Malaysia wa kike picha zilisambazwa kwenye net na aliyepiga alikuwa ex wake na alimpiga bila kujua...everyone can be a victim ya haya mavitu as long as uko kwenye uhusiano ambao si wa mke na mume...wanaume wenyewe hawa wa dot com...kuna hata wanaorecord movies bila msichana kujua...acha tu...ili baadae atumie kuku blackmail.

Sababu mtu mwenye nia ya kujisambaza mtandaoni hawezi kuumia...lakini wengi wa hawa wadada hii kitu ina wa affect sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…