Cyber law kuanza September Mosi

Cyber law kuanza September Mosi

Kama inavyofahamika sheria mpya ya makosa ya kimtandao iliyosainiwa na Rais hivi karibuni itaanza kutumika rasmi tarehe 1/09/2015 wiki ijayo,
Inasemekana jeshi la polisi limekwisha kugawa vifaa maalum vya kusaidia kuwabaini wale wote wataokiuka sheria hii,
Uelewa wa sheria hii kwa wananchi ni mdogo sana, nashangaa jeshi la polisi kwanini mpaka sasa halijatoa mafunzo maalum kuwaeleza wananchi hasa makosa hayo yakoje,
Kwa mwenye kufahamu sheria hii tunaomba atusaidie hapa tuisome ili isaidie kuepusha mambo yasiyo ya lazima, tunafahamu hii imeshakuwa sheria kwa hiyo kuipinga ni kupoteza muda tu,
 
Back
Top Bottom