blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 128
Njia ya kujua ni hapo atakapokutaka umtumie hela ya kusafirisha hivyo vituWakuu ni jinsi gani ya kutambua mtu mnayewasiliana nae kwa email hususani toka nje ya nchi mfano uingereza anataka kukufanyia wizi au utapeli wa mtandao.Mwenye mfano toa!maana kuna jamaa yangu leo kanisimulia amepata rafiki wa kizungu wamekuwa wakiwasiliana zaidi ya siku tatu zimepita sasa ivi anataka amtumie zawadi ya vifaa vyakiteknolojia na zawadi nyingine.hii ipo kweli maana mimi sijamuelewa kabisa!!
duuh mkuu tushashtuka hawa watu ni matapeli ni hivyo hivyo anapatikana facebook anakuomba urafiki mwenyewe ukukubali anakutumia sms inbox kwamba yuko bize anajiita Dr Meeran Goodness mkiendelea kuwasiliana atajifanya yuko bize mara anataka kukupa zawadi ya laptop mbili iphone camera jiepusheni asee ataanza kukuomba fee ya kusafirisha zawadi toka Senegal jiepusheni wakuu.Huyo ni tapeli mkuu Mimi pia ninawasiliana na mtu kama huyo kaniambia ametuma vifaa vya kiteknolojia ikiwemo laptop,simu ya apple na vingine kadhaa pamoja na cash.
Nikamwambia anitumie namba yake anayotumia huko uingereza ili nimkamate kupitia code number kadai hayuko online kwa Sabuni yuko Safari Vietnam.
Tapeli wangu kajitambulisha anaitwa dr Natasha Philip.
Kwa kifupi ni tapeli mwisho atataka utume gharama za kusafirisha hivyo vitu ukimtumia japo buku umeliwa.
Take care
itategemea na email provider na feature anazotoa, kama anaruhusu utaona kama haruhusu huoni.hivi kwani ukiwasiliana na mtu kwa email toka nchi nyingine hakuna njia ya kujua email uliyotumiwa imetoka nchi gani Chief-Mkwawa msaada hapa.