Televisheni ya taifa ya Iran ilitangaza kuwa chombo cha kijasusi cha Iran kimetoa pigo la kihistoria kwa Israel.
MOIS ilipata maelfu ya hati zinazohusiana na miradi na vifaa vya nyuklia vya Israeli.
Waziri wa Mambo ya Intelijesia wa Iran alithibitisha haya siku ya Jumapili ya tarehe 9 Juni 2025 kwamba Iran imepata taarifa nyingi kuhusu vifaa vya nyuklia vya Israel ambazo zitaongeza uwezo wa mashambulizi ya nchi hiyo.
Inataarifiwa kuwa raia kadhaa wa Israeli waliajiriwa kwa operesheni hii.