Mikwara au mukwaraIran hapo ni mikwara tu hizo, hamna lolote na ndio maana wako kwenye mazungumuzo na Marekani wangekuwa na hiyo nyuklia wasingekubali mazungumzo.
Naam yakwetu lazima tuyape kipaumbele!Hayo haya tuhusu kwa sasa tupo na yetu
NO REFORMS NO ELECTION
Kabisa watajuana wao hao ni ndugu. Tujenge kwetu. Kwako kunaungua afu unaenda ponya kwa mtu wa mbali hapanaNaam yakwetu lazima tuyape kipaumbele!
Umetupiga kamba Kwamba Israel hazipojibu na Iran anakaa kimya ina maana gani sasa Iran kutwambia ayo mambo?Kweli mkuu lkn Israel imekaaa kimya unajua kwann!!!
IRAN kaweka wazi atazianika nguo za ndani za Utawala wa Israel kwenye Media Iran inadai bado wanachambua chambua mtego upo apo!!
lkn ukweli si kuchambua ni mtego Kwa Israel wanasubiliwa wakane kuwepo ilo tukio !!!!
apo sasa Iran imwage kila kitu adhalani kuwaumbua!!!
Ndio mana Israel imekaaa kimya inapiga esabu cha kujibu lkn esabu zinakataa!!!!
Wameumbuka wajomba wa jako!!
Mbona mambo ya kawaida mkuu au hukuona urusi juz alivyolambishwa mchangaTelevisheni ya taifa ya Iran ilitangaza kuwa chombo cha kijasusi cha Iran kimetoa pigo la kihistoria kwa Israel.
MOIS ilipata maelfu ya hati zinazohusiana na miradi na vifaa vya nyuklia vya Israeli.
Waziri wa Mambo ya Intelijesia wa Iran alithibitisha haya siku ya Jumapili ya tarehe 9 Juni 2025 kwamba Iran imepata taarifa nyingi kuhusu vifaa vya nyuklia vya Israel ambazo zitaongeza uwezo wa mashambulizi ya nchi hiyo.
Inataarifiwa kuwa raia kadhaa wa Israeli waliajiriwa kwa operesheni hii.
Hao raia wa Israel walioajiriwa na Iran watakuwa ni Waarabu!Televisheni ya taifa ya Iran ilitangaza kuwa chombo cha kijasusi cha Iran kimetoa pigo la kihistoria kwa Israel.
MOIS ilipata maelfu ya hati zinazohusiana na miradi na vifaa vya nyuklia vya Israeli.
Waziri wa Mambo ya Intelijesia wa Iran alithibitisha haya siku ya Jumapili ya tarehe 9 Juni 2025 kwamba Iran imepata taarifa nyingi kuhusu vifaa vya nyuklia vya Israel ambazo zitaongeza uwezo wa mashambulizi ya nchi hiyo.
Inataarifiwa kuwa raia kadhaa wa Israeli waliajiriwa kwa operesheni hii.
Hivi wale madabo ajent huwa wanafanyaje kazi zao?, Ujasiri wanatoa wapi au ni njaa zao tu!!? 🤭😂😂Israel iliwakamata watu wake kadhaa wiki zilizopita wakiwemo wanajeshi wa idf kwa kuifanyia kazi iran
Wanakua na motives tofauti wengine njaaa, wengine visasi, wengine hawapatani wakuu wao...Hivi wale madabo ajent huwa wanafanyaje kazi zao?, Ujasiri wanatoa wapi au ni njaa zao tu!!? 🤭😂😂