CWT na kodi ya tarakimu moja

CWT na kodi ya tarakimu moja

kakaye

Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
87
Reaction score
63
Wana JamiiForums, mnaonaje miradi ya CWT? Siinatosha kujiendesha bila kukata walimu? Utetezi wao ni upi kama wao ndo vinara wa makato
 
Huu uandishi kama ni wa Mwalimu nimepata jibu kwanini wanafunzi wanafeli..


Ungeanza kwa kueleza hiyo miradi ni IPI,
inaingiza kiasi gani..
Je waalimu mnakatwa kiasi gani
Mapato na matumizi yako n.k
 
Kweli CWT ni wezi hawasaidii walimu kuwatetea maslai yao!Bali ULA pesa tu!KWA mfano Rafiki yangu alikuwa anakatwa na pspf na lapf KWA wakati Moja!alipoenda KWA mwajiri wake wakastop lapf.hivo akaanza kudai kurudishia makato take ikashindikana akaenda CWT wilaya wakamuhidi kufuatilia sasa ni miaka 2 Vila CWT kufuatilia aliens wanamwambia watafuatilia!kweli CWT ni watapeli
 
Tatizo wanaokatwa nao ni vilaza,hawajitambui.
 
Back
Top Bottom