cv

cv

felista elias

Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
10
Reaction score
1
jamani naomb mnisaidie..
CV inatakiwa iwe na vitu ganì na unaipangaje?
nisaidieni wakubwa.
 
Yap google utapata....na. bongo saivi cv ni ushahidi tu lakini kazi ni pande....
 
Kaka wape ukweli,japo wengi huwa ni wanafiki hawataki kukubali!japo na wao wamepata hizo kazi kwa ujanja ujanja tu.
 
Yap google utapata....na. bongo saivi cv ni ushahidi tu lakini kazi ni pande....

Cha msingi ni kuonana na consultants wa job seekers. watakusaidia kuhusu kuandaa CV yako na pia watakufundusha jinsi ya kafanya interview. I've passed through those routes and never lost any interview in which I had ever been shortlisted . sijuani na mtu wala pande from fresh graduate to-date.
 
1.Personal detail
2.Contact addres yan postal addrec,mobile and email addrec
3.Education background
4.Skills
5.Awards and prizes
6.Experience
7.Interest and Hobies
8.Referees.
 
Wanapatikanaje hawa mkuu?
Cha msingi ni kuonana na consultants wa job seekers. watakusaidia kuhusu kuandaa CV yako na pia watakufundusha jinsi ya kafanya interview. I've passed through those routes and never lost any interview in which I had ever been shortlisted . sijuani na mtu wala pande from fresh graduate to-date.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom