Cv za wake za watu!


umepotoka sana kwenye huu uzi..nimekufuatilia tangu mwanzo...sijui ni BANGEEE,...
U r not the type of that shit u r posting
 
umepotoka sana kwenye huu uzi..nimekufuatilia tangu mwanzo...sijui ni BANGEEE,...
U r not the type of that shit u r posting

Marital status haihusiku kwenye professional resume wewe. Toka lini ndoa ikawa kigezo cha sifa ya kazi?
 
Mbona hujajaribu hata kujibu maswali niliyouliza?


Tazama hapa kwanza.

 
Tazama hapa kwanza.

Yaani ni sababu za kijinga kabisa hizo! Eti ili asiweze kukupangia kazi nyingi....hahahaaa daaah! Eti ukisema "single si utapewa room 1".......kwani kabla ya hapo ulikuwa unaishi wapi?

Hivi nyie watu mnajua dhumuni la resume nyinyi?

Mlifundishwa wapi na nani waliwafundisha kuandika hizo resume mnazoweka marital statuses zenu?

Kweli Tanzania na professionalism ni oxymoron kabisa.
 
Hivi kupewa nyumba whether ya room 1 au 5 si inategemea na seniority kazini? Au nimepotoka?

Gavana wa BOT akiwa single atapangiwa room 1? Au Waziri mkuu wa TZ akiwa single hatapangiwa pale karibu na bahari? Au Lipumba akiwa raisi atapewa room 1 magogoni?

Yaani ni sababu za kijinga kabisa hizo! Eti ili asiweze kukupangia kazi nyingi....hahahaaa daaah! Eti ukisema "single si utapewa room 1".......kwani kabla ya hapo ulikuwa unaishi wapi?

Hivi nyie watu mnajua dhumuni la resume nyinyi?
 
hii kitu wife ametoka kuniuliza juzi mbona kwenye cv umeandika single?
 

Hivi kwanza ni kila kazi mtu anapewa nyumba? Au kwa Tanzania kila mfanyakazi hupewa nyumba?
 
Marital status kwenye resume inayotumiwa kuombea kazi inahusu nini?

Mambo mengine bana...

Kwenye CV unaweza usiandika marital status, Lkn baada ya interview, ktk kampuni nyingi tena kubwa tu, huwa kuna form unajaza (mkataba wa ajira), hiyo utakutana na kipengele cha marital status, watoto na majina yao (kama utazaa mwingine wakati ukiwa kazini naye utam-register kazini kwako), physical address itahitajika pia and so fourth. Ikiwa mtatalikiana utaiambia kampuni, na ukioa tena unawaeleza wanaupdate info zako. Kwa hapo ni lzm uandike, sasa ni juu yako kusema kweli ama kudanganya.

Na sehemu nyingine unapeleka vyeti halisi kbs na photocopy wanabaki nazo! Unapeleka cheti cha ndoa na kuzaliwa watoto.

Zipo sehemu unapeleka picha zao pia (PPS), wife, watoto wako, wazazi. Watoto unataja na shule wanazosoma, mwenza unasema anafanyia wapi kazi. Wazazi unasema wanakoishi.
 

Naona somo umeanza kulielewa sasa.

Kwenye resume unachotakiwa kuweka ni zile sifa zako ambazo zinakufanya wewe ufae kupewa hiyo kazi unayoiomba.

Hivyo, jina lako na contact info zako zinahitajika, elimu yako, tajiriba yako ya kikazi, special skills ulizonazo, honors na awards kutegemea na kazi uiombayo, bila kusahau kuweka walau timeline ya kazi ulizowahi kufanya.

Mambo ya marital status, idadi ya watoto, dini na kabila lako kwenye resume ni extraneous information.
 
Bora wewe umejua kutofautisha mazingira ya waomba kazi. Chumba cha kupanga tu wanataka kujua marital status seuse kazi....hiyo ndio Tanzania bana
 
Because they are readily available through facebook.Lol....nasikia employers nchi zilizoendelea wanatumia sana social media kuchimba info za watu
 
Bora wewe umejua kutofautisha mazingira ya waomba kazi. Chumba cha kupanga tu wanataka kujua marital status seuse kazi....hiyo ndio Tanzania bana

Chumba cha kupanga wanataka kujua kama wanaweza kukusakizia mtoto wa mama mwenye nyumba kukugongea na kukuomba chumvi huku kavaa khanga moja, katika jitihada za ndoa ya mkeka!

Wengine hawataki waruka majoka.
 

Hiyo itakuwa ni ajira ya CIA labda
 
Hiyo itakuwa ni ajira ya CIA labda
Kipi unachoona ajabu sana? kuna kazi hujui kwamba watoto wanalipiwa karo ya shule na ofisi? Je, ofisi italipaje pasipo kujua majina yao na wanakosoma?

Hujui kwamba huwa kuna matibabu unalipiwa na ofisi wewe na familia yako? Hufahamu kwamba unapoenda likizo unapewa nauli ya familia nzima na chakula cha njiani pamoja na usafiri wa tax ikiwa utatumia? tena kwenda na kurudi! Zipo kaka hizo sehemu, ikiwa unahitaji sema uelekezwe..
 
Nimeshangaa sababu employers wengi nilikofanya kazi likija suala la benefits kama health insurance nilichotakiwa kuwapatia ni:
Name of spouse, SSN# & DOB
Name of dependent(s),SSN# & DOB

Sijaulizwa picha wala copies ya vyeti vya kuzaliwa ama ubatizo zaidi ya vitu hivyo hapo juu na everything was taken care of. Ndio maana nimeshangaa
 

Ndo hivyo kaka mkuu, hizo sehemu zipo, Unapeleka joining instructinos za wanao, then wao (ofisi) inamalizana na skuli, we unaletewa risiti tu. Picha ni kwa ajili ya mambo ya bima na vitambulisho (cards) vingine vingine. Umri (vyeti vya kuzaliwa) ni kwa ajili ya kuarrange vitu kama sherehe au family days..
 
Hapo kwenye red sijaelewa employer wako ana business gani na sherehe/family days?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…