MCHUMIPESA
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,088
- 257
nyani mkubwa na mwizi mkubwa huyu!!!!!!!,kaiba vyeti vya secondary tcu na necta wamchunguze
Duh! imebidi nishike kichwa!!!.... kumbe msela kapiga on-line akiwa chumbani kwake!.... Duh! alafu chuo ndio vile unaccredited institution of higher education ...
nyani mkubwa na mwizi mkubwa huyu!!!!!!!,kaiba vyeti vya secondary tcu na necta wamchunguze
kwa cv kama hii kwa waziri,sishangai nchi yetu kuwa shamba la bibi
Pia kazi yake nyingine ni ukuwadi. Anamkuwadia totoz yule boss wake aliyempa uwaziri.
Mimi nawaomba muweke CV ya Mh Mbowe na CV ya Mh Zito tulinganishe na tuchambue uwezo wa hawa viongozi wetu! tafadhari wekeni CVs zao hapa jamvini.....!