Jamani elimu aliyonayo inatosha kuwa kiongozi cha msingi ni kumpima kwa utendaji wake manake kuwa na elimu kubwa si kusema utakuwa kiongozi mzuri tuna misomi mingi vyuoni,mitaani na serikalini haina lolote inafanya mambo ya ajabu tofauti na elimu iliyonayo cha msingi hapa tuangalie uwezo wa mtu kiutendaji na wala si kuwa na elimu kubwa sana mbona Mh Jacobo Zuma wa Afrika ya kusini elimu yake ni ndogo sana ukilinganisha na Mh Lukuvi na bado anawajibika vizuri kwa taifa lake,,jamani elimu kubwa sana si kigezo cha kuwa kiongozi mzuri.........!