Umeweka hizo CV sasa umefaidika nini,tatizo nyie Chadema mnakunywa viroba sana ndiyo maana akili yenu haijatulia.Lukuvi ni kichwa na ni msema ukweli hapeni unafiki kama Mbowe na Lissu.
Kaongea ujinga ata watoto wasikuhizi wakiwa wamefanya kosa wanajieleza vizuri adi una msamehe lukuvi kaongea mavi kanisani huku bungeni kaja kumwanga mikojo bire kabisa
Lipumba ni kichwa wacha maana record yake ya kupata A zote katika mtihani wake wa mwisho alipomaliza first Degree 1976 UDSM haijavunjwa!!!halafu inamlinganisha na mwalimu wa UPE??????
Mbona watu wa aina yake wako wengi huko ssm, hii nchi bwana bila shaka tumelaaniwa kama hawa ndo tunawategemea kututengenezea katiba wanaolamba miguu ya wafalme ili wapate kuishi tuna safari ndefu sana
Jaman hii ndo Tz inayowapuuza wasomi na kuwaabudu mbulura wa certificate wasiotambuliwa hata na watoto zake.Huenda hz cv za lukuvi huwa zinafichwa ktk chumba maalum ili watoto wasizione wakamcheka
HAKUNA CHUO KINACHOTAMBULIKA CHA WASHINGTON INTERNATIONAL UNIVERSITY kwa hiyo watu wote wanaojigamba na shahada za huko ni vihiyo. Ona hapa:
The name "Washington International University" is used in promotional materials for other unaccredited distance learning institutions. There are no known accredited institutions by this name.
Eti "Maoni yangu binafsi"! Halafu alikuwa kwenye function ya kumwakilisha Waziri Mkuu aliye alikwa rasmi. Sasa common sense inaonesha kuwa 'Ni serikali iliongea" Jamaa mwenyewe Elimu SIFURI! Aende India kisha tumpokee JKIA na kumpamba na "Tangulia Vangimembe".